DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 977
- 1,835
Hizi English medium mSalam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Royal EliteSalam wanajukwaa..

Lugha ya mabeberuSalam wanajukwaa..

Hebu nikumbushe. Mleta mada anahitaji haya maelezo yote au anataka kujua tu shule inayoivisha watoto kwenye uongeaji wa kiingereza?Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.
Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Mkuu hii hata mm nadhani ni shuhuda, nimewahi kutana na watoto wa shule hii wakitoka shule, walikuwa ni watoto wa familia moja, walitumia lugha ya kiingereza ktk mazungumzo yao ya kawaida kama kiswahili ...nitafatilia zaidi kujiridhisha..hekima waldorf - kinzudi
Thanks mkuu, nitafatilia zaidiRoyal Elite
Mkoa ni dar mkuuSasa hujasema mkoa
Hii Iko wapi mkuu?Fk primary
Hii sio hoja kwahiyo hutaki watoto wafungane..mbona una wivu wa kike..kwahiyo furaha yako uone mtoto kaferi?pumbafu wa head.Hizi English medium m
paka watu waje washituke kwamba zimejaa janja janja sana itakuwa too late, hata hicho kingereza watu wanacho kimbilia huko hakuna kingereza cha maana, shule zimejaa janja janja nyingi sana kulilo elimu. Kazi kubwa ni ku manipulate matokeo kuwafurahisha wazazi.
Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
Hizi ziko located wapi mkuu, sijawahi kuziskiaJaribu FK na Liberman mkuu
Sista Abby Iko wapi hii shule?Victory Christian school
Ukanda huo wa twgeta to mbezi beach.tafuta google wanaweza kuwa na website na Kuna mawasiliano Yao.Sista Abby Iko wapi hii shule?