Thanks mkuu, nitafatilia zaidiPeleka mtoto Hellen's school hutajuta
KWa akili zenu za kushikiwa huwezi elewa mchezo,kwa hio kufungana kupontu English medium? Mbona shule za Umma kuba wa kwanza hadi wa MWisho? kwa hio huko English medeum wakifungana ndio wote waishie namba 10?Hii sio hoja kwahiyo hutaki watoto wafungane..mbona una wivu wa kike..kwahiyo furaha yako uone mtoto kaferi?pumbafu wa head.
Hapo sawa sawa sasaaaa.....Royal Elite
FK iko Africana....Lieberman iko Bunju....kuna Royal Elite iko Afrikana ndani kidogo uliza kwa Mwamunyange.....zote ada 5mil plus mwaka.....Hizi ziko located wapi mkuu, sijawahi kuziskia
Kingereza sio akili,Mkuu hii hata mm nadhani ni shuhuda, nimewahi kutana na watoto wa shule hii wakitoka shule, walikuwa ni watoto wa familia moja, walitumia lugha ya kiingereza ktk mazungumzo yao ya kawaida kama kiswahili ...nitafatilia zaidi kujiridhisha..
Wanafanyaje wanawapanga wote Darasa zima wanakuwa wa kwanza?Peleka mtoto Hellen's school hutajuta
Kwa Wabongo wanajua ndio elimu yenyewe, yaanu model yetu ni ya kipekee sana Dunia nzima, Wakati wenzetu wanatoa elimu sisi tunakomaa na LughaLengo la elimu sio kuzungumza kiingereza kama kasuku cc. LIKUD
Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepekiNa sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.
Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Hakikwepeki wapi? Tanzania au wapi? Wachina wanafundisha jinsi ya kuitawala Dunia na baada ya hapo wanasambaa Dunia nzimaz wako kwenye nchi zinazo Zungumza Kireno, wako kwenye nchi zinazo zungumza Kifaransa na kadhalika na wanapiga Biashara.Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
aisee!! Kama ndo hivyo operation ondoa watoto English medium itabidi ianze👿Hizi English medium m
paka watu waje washituke kwamba zimejaa janja janja sana itakuwa too late, hata hicho kingereza watu wanacho kimbilia huko hakuna kingereza cha maana, shule zimejaa janja janja nyingi sana kulilo elimu. Kazi kubwa ni ku manipulate matokeo kuwafurahisha wazazi.
Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
Kutema yai cyo mkuu 😂Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Kinacho wapa nguvu na Ubora sio Lugha, ni Mfumo wao au Mtala wanao tumia Jomba, sasa nyie danganyanane na Kingereza, huo mtala wao wanaufundisha kwa Kingereza.Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
Lugha inatumika kufundishia haitumiki kupima akilinza watoto pale International schoo.Hata hizo international zinazingatia matumizi ya lugha za kimataifa ikiwa ni pamoja na kiingereza.Kiingereza hakikwepeki
Huko Kenya wanatema sana na hawana hata 100 mfukoni,Kutema yai cyo mkuu 😂