DIRIMULAINA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 977
- 1,835
- Thread starter
-
- #41
Ndio mkuu, yai lazima litemwe! Sasa mtu unalipa ada na shule inajiita English medium watoto lugha ya mabeberu haipandi, muda wote wanabonga kiswahili..Kuna tofauti gani na st likudKutema yai cyo mkuu 😂
Mkuu yawezekana lugha ndio kipaumbele cha wazazi, hiyo kutatua matatizo itakuwa ni kipaumbele cha wakati mwingine...sasa wanapojisajili kama english medium si inatakiwa watoto wawe na umahiri wa lugha ya kujifunzia!Tunapumbazwa sana na eti English, Mtoto anaongea Kingereza yes, sasa kibadili kisolve tatizo kwenye jamii hapana utasikia hajafundishwa.
Wenzetu kule International wanatumia Kingereza yes, ila vitu sasa wanavyo fundisha ni vya kuwasaidia watoto,
Unaweza tatua vipi matatizo kutumia Kingereza language? ni wapi usha sikia kuna umasikini kisa Lugha?
Mkuu, Kuna urahisi sana Kwa mkenya kwenda kujitafuta riziki duniani kuliko mbongo..nafikiri hata takwimu za diaspora ya Kenya na TZ ni tofauti..na hii inatokana tu na lugha si jambo jingine.Huko Kenya wanatema sana na hawana hata 100 mfukoni,
Nitafatilia mkuu, asante sana!Mpeleke Kings modern karibu na njia nne Goba,hutajuta
Mtoto anaongea Lugha na yuko nyumbanu kakaa akili hana make tusichanganye Kingereza na akili.Mkuu yawezekana lugha ndio kipaumbele cha wazazi, hiyo kutatua matatizo itakuwa ni kipaumbele cha wakati mwingine...sasa wanapojisajili kama english medium si inatakiwa watoto wawe na umahiri wa lugha ya kujifunzia!
Zile nchi za Francophone wanazamia hadi Uingereza au kule Italia vipi ni lugha inawafanya waende?Mkuu, Kuna urahisi sana Kwa mkenya kwenda kujitafuta riziki duniani kuliko mbongo..nafikiri hata takwimu za diaspora ya Kenya na TZ ni tofauti..na hii inatokana tu na lugha si jambo jingine.
Mpeleke ile ya SANT GAY MEMORIOOO SUKULI ...wanaongea kingereza yaani kimombo chenyewe.Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Mkuu BLACK MOVEMENT, Yawezekana una hoja ya msingi kbs na yenye mashiko...lkn Kwa sasa tumejikita kwenye umahiri wa lugha ambayo taasisi husika zimejitabaisha kwayo...jambo la akili na problem solving skills nafikiri ni muhimu pia lkn sio ajenda ya Uzi huu ambao umejikita ktk ujuzi wa lugha kama nyenzo ya mawasiliano...nadhani umewahi ona baadhi ya viongozi wa kitaifa wanavyopata wakati mgumu pale wanapotakiwa kuadress audience ktk platforms za kimataifa.Mtoto anaongea Lugha na yuko nyumbanu kakaa akili hana make tusichanganye Kingereza na akili.
Unaweza kuwa umesima Kiswahili ila una akili na unazitumia kutoka,
Wakisha kuongea inawasaidia nini? Si bure Wachina wanakuja hadi kufanya Umachinga Tanzania kwa aina hizi za akili lazima waje tu Wachina.Mpeleke ile ya SANT GAY MEMORIOOO SUKULI ...wanaongea kingereza yaani kimombo chenyewe.
Sikiliza shida kuuu mnatargetia watoto wenu ajira, hii ndio shida, yaani mnawatengenezea Mindset kwamba wasome Kingereza waje wajishinde usailiMkuu BLACK MOVEMENT, Yawezekana una hoja ya msingi kbs na yenye mashiko...lkn Kwa sasa tumejikita kwenye umahiri wa lugha ambayo taasisi husika zimejitabaisha kwayo...jambo la akili na problem solving skills nafikiri ni muhimu pia lkn sio ajenda ya Uzi huu ambao umejikita ktk ujuzi wa lugha kama nyenzo ya mawasiliano...nadhani umewahi ona baadhi ya viongozi wa kitaifa wanavyopata wakati mgumu pale wanapotakiwa kuadress audience ktk platforms za kimataifa.
Sio sahihi mkuu, Kwa mzazi wa kileo kama bado yupo mwenye mindset ya 'soma upate ajira' nadhani atakuwa nyuma ya wakati...tunao wadogo zetu wengi tu wenye elimu na wamekosa ajira.Sikiliza shida kuuu mnatargetia watoto wenu ajira, hii ndio shida, yaani mnawatengenezea Mindset kwamba wasome Kingereza waje wajishinde usaili
interview
Subilia❌Subiria mwongozo
Mkuu una uoni hafifu au umekimbilia tu kukosoa..rudi rudi kasome vzr alichoandika huyo iliemsahihisha.Subilia❌
Subiria✅
Mpeleke shule ya kawaida,.tafuta sehemu au mwalimu wa English shule anayosoma mpe mwalimu hela amfundishe km tuition kwa ajili yake tu.kwanza utaokoa hela nyingi hii njia rafiki nyangu ndio anayoitumia na inamsaidia sana na dogo anapiga shule vzr tu,hua kl j1 anampeleka kufanya mitihani kwenye tuition za mtaani na dogo anapiga vzr tena masomo yote.Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere.Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.
Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Shukran Kwa mchango wako..lkn mwanangu anafanyia vizuri masomi yake, ni moja kati ya best pupils Kwa darasa lake...shida ni lugha ya kujifunzia anaungaunga, hawezi kuongea fluently..hii inatokana pia na shule husika kutotilia mkazo lugha ya kujifunzia badala yake mkazo wameweka kwenye matokeo...muda wote wa shule watoto wanabonga kiswahili...na tunafaham vzr kuwa namna nzuri ya kujifunzia lugha yoyote Ile ni kuifanyia mazoezi ya kuzungumza mara Kwa maraMpeleke shule ya kawaida,.tafuta sehemu au mwalimu wa English shule anayosoma mpe mwalimu hela amfundishe km tuition kwa ajili yake tu.kwanza utaokoa hela nyingi hii njia rafiki nyangu ndio anayoitumia na inamsaidia sana na dogo anapiga shule vzr tu,hua kl j1 anampeleka kufanya mitihani kwenye tuition za mtaani na dogo anapiga vzr tena masomo yote.
NB:
Kuna generation sio watu wa shule means hata umpe mwalimu gani haelewi or kufaulu vzr so angalia hilo pia