Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere.
 
Kwa primary lugha lazima ipande. Sasa kaenda kufanya nini kama lugha anayofundishiwa haielewi?
 
peleka mtoto Mt Kibo Schools
P
 
Wakisha kuongea inawasaidia nini? Si bure Wachina wanakuja hadi kufanya Umachinga Tanzania kwa aina hizi za akili lazima waje tu Wachina.

Kuna watu kwa sasa ni Madereva na walisma English medium, wengine wanaendesha Mabasi,
Wanafanikiwa kuwa mashoga wenye sauti nyororo akikutamkia neno "this" lazima udinde kwa jinsi wanavyo litamka
 
Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere.
Na mm nimeenda hatua 5 zaidi,wkt mwingine shida sio shule but wazazi pia wanaweza mpoteza mtoto,sasa hivi kuna watoto anapigwa na kuonewa na wapenzi wao and watu wakawaida sana why kwakua malezi yao hayakua na exposure za mazingira kabisa,yaani yamekua nyanya sana kwakua wamezoa kufanyiwa kila kitu and they can’t stand on either own
 
Mleta Mada hajaomba ushauri. Anataka kujua shule inayofanya vizuri kwenye kiingereza. Hayo mengine hajakuomba. Kama huna jibu unanyamaza siyo unakuwa na kiherehere
 
Huko Kenya wanatema sana na hawana hata 100 mfukoni,
Lakini wakenya hawahangaiki sana kupata ajira kama ilivyo Kwa watanzania.mfano angalia mashirika ya kimataifa kama FAO,WHO,UNESCO na mashirika mengine kama VODA,TIGO(yas)n.k wakenya ni wengi kuliko watanzania sababu lugha ya kizungu watanzania inawapiga chenga.ze ze ze ni nyingi sana
 
Sio sahihi mkuu, Kwa mzazi wa kileo kama bado yupo mwenye mindset ya 'soma upate ajira' nadhani atakuwa nyuma ya wakati...tunao wadogo zetu wengi tu wenye elimu na wamekosa ajira.
Mimi hapa kuna wazazi na watoto wao wamesoma hizi shule tena ghari hizo English Medium ila wako mtaani
 
Endeleni kuwaandaa watoto wenu wwje kuajiruwa inaonekana hatujifunzi
 
Endeleni kuwaandaa watoto wenu wwje kuajiruwa inaonekana hatujifunzi
Wewe unamiliki kampuni Gani?kujiajiri kunaanzia mbali,unaweza kuajiriwa kwanza ili kupata mtaji na baadae ukajitegemea.kiingereza ni muhimu maana ndiyo inazungumzwa na mataifa yote duniani.sasa wewe ambaye hutaki kiingereza Baki na hicho kiswahili chako ambacho hakina manufaa mbele ya biashara za kimataifa zaidi ya kukaririshwa kuwa lugha yetu ya asili.
 
ST.MARY'S, +Kilimani School
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…