Wewe unamiliki kampuni Gani?kujiajiri kunaanzia mbali,unaweza kuajiriwa kwanza ili kupata mtaji na baadae ukajitegemea.kiingereza ni muhimu maana ndiyo inazungumzwa na mataifa yote duniani.sasa wewe ambaye hutaki kiingereza Baki na hicho kiswahili chako ambacho hakina manufaa mbele ya biashara za kimataifa zaidi ya kukaririshwa kuwa lugha yetu ya asili.
ATRAS sijui ni jina sahihi lkn mwanangu anasoma hapoSalam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Ni ATLAS, hii pia nimewahi kusikia taarifa zake ila haiko maeneo niliyotaja..nadhani Iko madale kama sikoseiATRAS sijui ni jina sahihi lkn mwanangu anasoma hapo
Jerusalem School. Iko tangi bovu. Hautajuta.Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Mtoto wangu ndo anasoma hapo yupo Grade 4 sasa.Mpeleke Kings modern karibu na njia nne Goba,hutajuta
Hizi tuhuma tu zisizo na uhalisia au ukweli wowote.Nikiwahi leta humu kwamba Englsh medium kama Darasa lina watoto 40 hutakaa uone mtoto hata wa 30 achilia mbali wa 40. Matokeo yanakuwa manipulated nafasi moja wanaweka hata wanafunzi 10 nafasi ya mtoto wa kwanza ina wanafunzi 7 ukishitukia ukiuliza unaambiwa waligongana. na wanaishia kwenye namba 10+ huko kwenye 30 na 40 hawafiki ili kuwafurahisha wazazi.
Pole sanaHii sio hoja kwahiyo hutaki watoto wafungane..mbona una wivu wa kike..kwahiyo furaha yako uone mtoto kaferi?pumbafu wa head.
Mkuu unazungumziaje uwezo wake wa kutiririka na lugha ya mabeberu ktk hiyo level yake ya grade 4? shule hii imetajwa na wadau kadhaa hapa na inabidi niifatilie Kwa karibu..Mtoto wangu ndo anasoma hapo yupo Grade 4 sasa.
Ukichukua idadi ya wanafunzi wa kayumba.mfano katika wanafunzi elfumoja ni mmoja tu ndiyo anajua kiingereza tofauti na medium ambazo katika kila wanafunzi elfumoja ni mmoja tu ambaye hajui vizuri lakini anakuwa na uwezo wa kuongea Kwa ufasaha asilimia 98.huu ni utafiti kutoka asasi Moja inayojihusisha na masuala ya elimuKwani mtu akisoma primary kayumba anakuwa hajui kiingereza milele
CEO wa NMB ruth zaipuna kasoma kayumba kuanzia msingi mpaka chuo ila anaongea kiingereza vizuri tu, na kashika vyeo vikubwa kuliko classmates wake wa udsm waliosoma olimpio na arusha schools
Kujua lugha yoyote ni practice tu. Sio sababu ya shule za kayumba ndio zinakwamisha
Nayo nzuri, Maana watoto wanaotoka hapo huwa wapo vizuri sanaMkuu labda st Mary's, ila hiyo kilimani hamna kitu!
Hakuna zote ni wababaishaji tuSalam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Ukiwa huna hela...ni mwendo wa kusagia EM tu. Kama EM hazifai..mpeleke st Kayumba.Na sijui kama Kingereza ndio akili au la, hizi Brainwash zitatuumiza sana.
Shule kama za Inteenational school sio kwamba kinacho wafanya kuwa bora ni kingereza hapana ni aina ya ufundishaji wao unao fanya watoto kuwa na uelewa mkubwa sana wa mambo mengi, kuhoji na kudadisi. Sasa sisi tumewekeza kwenye kingereza tu. Tunapigwa sana na hizi English medium na hakuna elimu ya maana pale nakataa katakata.
Kama una uwezo peleka .mtoto pale Royal Elite ipo karibu na kwa Mwamunyange rtd General.Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Shule nzuri zipo, ungesema na uwezo wako wa kumudu ada ni kiasi gani ili uweze kushauriwa kulingana na kipato chako.Salam wanajukwaa..
Kichwa cha mada chajieleza!
Nahitaji kuhamisha mtoto wangu toka kwenye shule moja ambayo sifurahishwi nayo hata kidogo..haiwezekani shule ikaitwa English medium wakati watoto muda wote wanabonga lugha ya taifa shuleni na hawana uwezo kabisa wa kutema yai mpaka wanamaliza darasa la saba.
Haya ni matumizi mabaya ya ada!
Hivyo basi Kwa wale wenye kufahamu shule binafsi yenye uzoefu wa kuwaivisha watoto ktk lugha ya mkoloni Kwa maeneo tajwa hapo (excluding international schools) naomba mning'ate sikio...Ahsanteni.
NB: Likud na timu yako naomba mpite mbali na Uzi huu.
Habari mzazi wa ....., mwanao amekuwa wa 23, kati ya wanafunzi 42 katika mtihani wa MIDTERM MARCH 2025 - Nursey. READ=88,LANG=92,EARL=97,CREA=88,HEAL=85, Wastani wake ni 90.00 . Kwa ripoti kamili, ingia sttheresepreandprimaryschool.shulesoft.africaKWa akili zenu za kushikiwa huwezi elewa mchezo,kwa hio kufungana kupontu English medium? Mbona shule za Umma kuba wa kwanza hadi wa MWisho? kwa hio huko English medeum wakifungana ndio wote waishie namba 10?
Nilieleza mkuu, kasoro international schools, hizi za mtaala wa necta zote nazimudu vzr.Shule nzuri zipo, ungesema na uwezo wako wa kumudu ada ni kiasi gani ili uweze kushauriwa kulingana na kipato chako.
Kila la kheri