Autodidacts
JF-Expert Member
- Jun 9, 2021
- 1,165
- 1,804
Nani kasema anawachukia?ili iweje? Sina chuki na mwanadam mwezangu maana chuki na hasira ni sawa na dhambi ya kuua...siitaki dhambi hiyo,turudi kwenye mada...Kumbe na kubishana kote kumbe nabishana na mtu asiye kuwa na uwelewa wowote kuhusu Uchumi.
Kwa hiyo siku hizi Ghana ina uchumi mkubwa kuizidi Misiri,Tunisia, Senegal,Aljeria, Morocco,na sudan?
We jamaa ni bure kabisa.
Una wachukia waislam wakati makampuni yao ndio yame waajili malaki ya wakristo wenzio?
Hao mnao wasifu sijui kufaulu wakisha maliza hiyo elimu yao ya kukalili watarudi kuomba na kuajiliwa hao waislam unao wachukia.
Una wachukia waislam wakati kila siku ni unatumia bidhaa zao kuendasha maisha yako kila siku.
Tunisia,Morocco,Egypt n.k nazo zina chumi nzuri kiasi LAKINI tambua kuwa chumi zao sawa na chumi nyingi za Africa ni za wazungu na wachina...unajua hili?
Mwarabu ama muislam hana tech wala ujuzi wake wa kisayansi zaidi ya kumtegemea mzungu,ata kuchimba mafuta tu hawawezi unajua hili? Ivyo hizo ni chumi za wazungu sio waislam ambao wanabebwa kwa almost kila kitu na mzungu.
Kwa Tz nimeshaileza kuwa wanasiasa wabadhirifu ndio wenye huo utajiri kwa Bakhresa,Mo,GSM n.k...waislam hapo ni wanatumika tu kuficha fedha haramu. Halafu mbona unakwepa hoja ya utajiri wa nguvu za giza mnaotumia hasa majini!? Unafeli wapi au upo kwenye orodha!?