Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Hiyo list yako haina uhalisia kwa kuwa, kwa record zangu karibia nusu ya shule hapo juu zina wanafunzi kati ya 7 na 25 kwa darasa. Hivi utawezaje kushindanisha shule yenye wanafunzi 145 kwa darasa na shule yenye wanafunzi 9?
Na ukute hiyo yenye 9 walianza 35 wengine wote wakarudishwa ili mwishoni ionekane wamefaulu wote
Nilipenda pia kupata list ya shule kumi bora zenye wanafunzi angau zaidi 45 ambao ndio wastani wa darasa moja (hapo sijaongelea shule nyingi tu zenye angalau mikondo 3 ( A, B, C na kuendelea)
Nakushauri ufute hiyo list yako kwani haina maana yoyote labda kwa wale makanjanja!
 
Watoto wengi wa Kiislam wanasoma kwenye shule za St Kayumba kama ilivyo kwa watoto wengi wa kitanzania kutoka familia duni....
 
shule nyiingi sana za kiislam ambazo ziko na hali nzuri basi wengi wanaosoma huko ni waarabu na wahindi pamoja na bohora ambao kwa kiasi kikubwa hawatumii mitaala hii na target yao kubwa sio watoto kufaulu bali watoto kuwa na uelewa waje kusimamia biashara au kujiajiri na kama kusoma hapa basi ni basic education na elimu ya juu ni nje ya nchi...
 

Zanzibar hawahitaji hata kujitenga maana akili za maisha wanazo. Walishajipendelea kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapuuzi wapenda ma vyeti wa bara. Div 1 unayo ila ajira hupati

Zanzibar sio wenzako. Kwenye ajira hao waliopata division 1 hawataweza kushindana na wa zanzibar waliopata div 4.

Hata mama samia alipata div 4 tu. Ila ameshika vyeo vya juu kibao kuliko wanawake wote Tanzania
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo st francis ina wahitimu 96.
 
Kwenye shule zao wanahakikisha wanafunzi wanakwenda pamoja na sio kuwabagua wenye uwezo wa chini

Shule nyingi za Waislamu zinachukua wanafunzi wa kila hali. Hawachagui wale tu waliofanya vizuri saana huko walipotoka(kama ni O level to A level). Ada zao ni rafiki kuweza kua accommodate watoto wa hali zote kimaisha
 
Muulize Kimsboy kuna shida gani na shule za kiislam
 
Duh Shule za Kiislamu, Kikristu na Sijua za Wapagani pia Zipo ?

Anyway kama shule haibagui dini wala kutoa / kulazimisha mafundisho fulani ya imani fulani basi ni shule za Watanzania (Atleast I Wish ingekuwa hivyo)
 
Fala ni Mama yako, kuna uongo gani hapo kuwa idadi kubwa ya waislamu ni goigoi na mabumunda tu.
Baba yko ni shoga we! Anayewaongoza ni mkristu tu? **** we
 
Hii mijadara ndiyo inayoonyeshaga taswira nzima ya upeo wa watu,jibu lake wakristo.wamejikata sana kwenye Elimu toka miaka na miaka,wakiwa na Ajenda ya Kanisa Shule,Hospital,Wakati Waisilamu ni misikiti na Madrasa,
Lakini tujiulize hii Elimu ya kukariri inamsadia kweli mtoto wa kitanzani, Ada tunapoteza pesa za kuwasomesha wanetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…