Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Kumbukeni wanatuongoza saivi, kuanzia msoga, raisi, waziri mkuu, jaji mkuu...nk!!
 
Madras kwa Ilimu dini Vs Ilimu dunia🤣🤣🤣🤣
 
Ukitulia chini ukaangalia percent ya Wakristo wanaopiga paper na wanaovurunda paper, hakika utaililia elimu ya Tanzania badala ya kudhani ni tatizo la Waislamu!!
Wewe ndio una akili.
Watu wamesoma ila hawana mbele wala nyuma.
Nchi haina mbele wala nyuma, nchi inashindwa dira hadi na korea kaskazini, kuna wasomi hapa ?
Mnaweza kuonesha kazi za kisomi na kiurevu mkiombwa?
Walau wakenya wanaweza tamba kidogo.
Trump alisema. Africa ni shit$##$ hakuna kenge alimpinga.
Kama kuna kenge anajifanya amesoma humu anyoshe kidole niende nae ligi.
 
Someni tu sisi tunajiandaa kuwa maboss wenu, tutasoma kidogo tu, tutaingia kwenye biashara na kuwaajiri nyinyi wasomi.
Sisi tuache tusome mas'haf kwa sana kwetu inatosha.
 
Soma dini usisubiri watu wakusomee kisha waje kukuambia eti Mungu kasema... Mana inaonesha wazi mnasoma Biblia lkn hamuiamini kwakuwa hamuifuati.
 
tunashangilia sana uwingi wa hizi shule za kidini na kusahau kuboresha shule za kawaida za serikali kwa ajili ya Watanzania wote...

tukiendelea kuyaacha haya huko mbele kuna hatari sasa kila dini ikawa na shule zake na matokeo yake ni jamii kutengeneza matabaka ya kidini ambayo huko mbele yataleta matatizo kwenye uongozi...

ni wakati wa Serikali kupiga marufuku shule zote za kidini au matabaka fulani na watu wote wachangamane..Muda wa masomo ulegezwe labda mpaka saa nane mchana...baada ya hapo kila mtu akasome dini yake aipendayo....lakini pia weekend jmosi na jpili kila mtu aisome dini yake...

tunatengeneza bomu kimyakimya... Public schools ziboreshwe, private school ziwe za watu wote na sio mrengo wa dini fulani....

Tunapaswa kubaki na mfumo wa shule za private kama zile za zamani... Makongo, Airwing, Mbezi beach, nk tuachane na huu mfumo wa shule za makanisa na misikiti....
 
Unajua kitu kinaitwa sampling?
 
Tatizo la waislam kunyimwa haki nchi hii lilianza awamu ya kwanza,

Scholarship zote walipewa kina jose unategemea nn waache wahifadhi juzuu 30.
 
Ww mzee nilikuwa nakuona kama mtu mwenye akili kumbe umejaa uharo kichwani?
Yaan Mwinyi aliye kutoa kwenye ufukara wa kutisha wa kuvaa viraka na kununu chumvi kwa foreni una mfananisha na Mkapa aliye kuja kutaifisha madini yetu na kumpa mzungu?
 
Tatizo la waislam kunyimwa haki nchi hii lilianza awamu ya kwanza,

Scholarship zote walipewa kina jose unategemea nn waache wahifadhi juzuu 30.
Sawa lakin kuna mada ililetwa na mama d kuwa waislam ndio wanaipeperusha hii nchi karibia sekta zote so maisha yana mambo mengi
 
Kwani definition ya shule inahusisha idadi ya wanafunzi!?

Mbona unakuwa mjinga hivi mpaka aibu! Hayo ni matokeo according to baraza la mitihani,tutolee ujinga wako hapa,jibu hoja.

Why more educational success to christian communities than muslim communities?
 
Kula na kuliwa jicho kunaondoa sana akili,Pwani na muslim communities zinaongoza sana kwa tabia hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…