umeongea maneno mafupi yenye maana kubwa sana
hii ndio nia ya chama cha mapinduzi kwa watanzania mapinduzi chanya ndio kipaumbele kwetu
nampongeza mama pamoja na wasaidizi wake amati kuu ya chama na serikali kwa ujumla
Duh aiseee
Kwahio hii serikali yenu inafanya makusudi tu shule nyingine kuwa hovyo?! Ina .maana wana uwezo wa kufanya shule na elimu kwa jumla iwe bora.huu ni ukweli mchungu.
tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private anayosoma mwanao unayomlipia ada milioni kazaa,
utagundua private school nyingi ni kama mawinga wa kariakoo kwenye swala la kutupiga kwenye school fees kubwa kuliko ubora
View attachment 3243949
Hawa wa Ngeli medium, Mbona maajabu yao hayonekani university?Nimecheki video. Shule kali sana.
Mazingira ni mazuri kuliko private school anayosoma mwanangu.
Na hapo nalipishwa ada karibu milioni 2 kwa mwaka
Ushaanza kuleta uchawa wako hukuhii ndio nia ya chama cha mapinduzi kwa watanzania mapinduzi chanya ndio kipaumbele kwetu
nampongeza mama pamoja na wasaidizi wake amati kuu ya chama na serikali kwa ujumla
Swali zuri sana.Kwahio hii serikali yenu inafanya makusudibtu shule nyungine kuwa hovyo?! Ina .maana wana uwezo wa kufanya shule na eleimi kwa jumla iwe bora.