MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
huu ni ukweli mchungu.
tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private anayosoma mwanao unayomlipia ada milioni kazaa,
utagundua private school nyingi ni kama mawinga wa kariakoo kwenye swala la kutupiga kwenye school fees kubwa kuliko ubora