Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo.
Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM , taarifa ya uhakika inaonyesha kwamba hadi sasa shule 8 za chama hicho zimepigwa kufuli kwa kukosa wanafunzi, huku zilizobaki zikitarajiwa kupigwa kufuli muda wowote kuanzia sasa.
Mungu wabariki Wananchi
Chanzo : EFM Radio