Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
SIRRO inabidi astaafishwe kwa manufaa ya ummaIle press imeendaje bwashee?
Sirro kapewa za uso kuhusu kupeleka bunduki madrasa kama alivyotumwa na KagameIle press imeendaje bwashee?
Huna hojaErythrocyte na Salary slip atakuwa ni Joyce Mkuya
Kwani Chadema ni taasisi ya kidini?!Sirro kapewa za uso kuhusu kupeleka bunduki madrasa kama alivyotumwa na KagameView attachment 1937442
Tegeta Sekondari ilishafungwa miaka kibao nyuma. CCM is dying slowlyShule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa ccm zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu , baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo .
Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM , taarifa ya uhakika inaonyesha kwamba hadi sasa shule 8 za chama hicho zimepigwa kufuli kwa kukosa wanafunzi , huku zilizobaki zikitarajiwa kupigwa kufuli muda wowote kuanzia sasa .
Mungu wabariki Wananchi
Chanzo : EFM Radio
Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa ccm zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu , baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo .
Hii ni baada ya wananchi hao kufahamu kwamba chanzo cha umasikini na dhuluma dhidi yao Kwa miaka yote ni CCM , taarifa ya uhakika inaonyesha kwamba hadi sasa shule 8 za chama hicho zimepigwa kufuli kwa kukosa wanafunzi , huku zilizobaki zikitarajiwa kupigwa kufuli muda wowote kuanzia sasa .
Mungu wabariki Wananchi
Chanzo : EFM Radio
Wewe ndio juliana shonzaErythrocyte na Salary slip atakuwa ni Joyce Mkuya
Mh.Joyce anahusianaje na mada iliyopo jukwaani?Huo uandishi wako unaitwaje?Jikite kwenye suala la Shule za Jumuia ya Wazazi CCM (Ingawa ilipoanzishwa haikuwa ya chama) kukosa wanafunzi.Tatizo ni nini?Erythrocyte na Salary slip atakuwa ni Joyce Mkuya
CCM is dying slowly BUT steadily.CCM is dying slowly
Tatizo la CCM ndiyo hilo. Kwenye kampeni wa najifanya busy wananadi Manifesto ya chama. Wakiingia madarakani wanataka umaarufu binafsi.Serikali ya CCM inastahili pongezi kwa hili. Uwepo wa shule nyingi za serikali kila kata kumesaidia kuondoa gharama za elimu kwa wazazi.
Hongera kwa Raist mstaafu Jakaya Kikwete kwa kuanzisha na kujenga shule za kata. Hongera marehemu JPM kwa kutekeleza Sera ya elimu bure na kuongeza vyumba vya madarasa nchi nzima.
Mama mae yuko promising,tayrai ameshasema mkopo wa IMF utaenda kujenga madarasa.
we ifuatilie , ina wanafunzi ?Lomwe secondary ipo kwenye list?
Lomwe ilikuwa enzi za kangero, sasa hivi iko hoi.Lomwe secondary ipo kwenye list?
Zamani ilikuwa inatafutwa(ili kupata nafasi za kujiunga nayo),ila kwa sasa yenyewe ndio inatafuta wanafunzi.we ifuatilie , ina wanafunzi ?