Usijali mambo ya ada. Serikali italipa ada kwa watoto wote. Nyie kazi yenu ni kufyatua watoto tu.Na ada za International School zikoje vile?😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mambo ya ada. Serikali italipa ada kwa watoto wote. Nyie kazi yenu ni kufyatua watoto tu.Na ada za International School zikoje vile?😏
Sawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gariBack in the days when I was form 2 student,Kuna mwalimu mmoja aliyeitwa muhidin alitoa kauli Moja darasani siku hiyo alisema,ukitaka elimu ya 1000 utapata na ukitaka elimu ya milioni Moja utaipata. Ni Zaid ya miaka 12 Sasa tokea aitoe hiyo kauli ndipo nilipokuja kumuelewa alimaanisha Nini haswa.
Wamewekeza kwenye ujanja ujanja sana mimi ndio kitu wanacho ni boa nacho,huo ni mfumo umekuja kutufilisi
Hizo English Medium hapo ndio wabako kamatia Wazazi na mbaya zaidi ni Kingereza cha kuongea na sio cha kuandikaBora kusoma ENGLISH MEDIUM kuliko zile shule za SENTI KAJAMBA.
Wengi wenu humu ni zao la SENTI KAJAMBA, ndio maana mna wivu mnapokutana na vitoto vya chekechea vinatema yai kiulaini.
Hata watoto wenu wanasoma SENTI KAJAMBA. Mmejaa makasirikoo na gubu kali. [emoji851]
Acheni wivu nyie MASENTI KAJAMBA.
English medoum wanajiamini nini? Mfumo wa ufundishaji ni sawa tu na wa shule za Serikali make mtala ni mmoja,Watoto wa SENTI KAJAMBA kwanza wengi wao hawajiamini.
Muda wote wanatandikwa mabakora na kusukumwa sukumwa na walimu wenye hasira za madeni ya vikoba.
Mtoto muda wote anatetemeka amejaa mashaka na hofu, walimu wanamtisha na kumfokea kama msukule.
Ni bora ENGLISH MEDIUM, mtoto hanyanyaswi hovyo na anapewa elimu stahiki.
Inafikirisha sanaSawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gari
Hahahah ishu sio kujua vitu vizuri ishu ni ku afford. Umenikosha sana uliposema waweke billion 700 kwenye account waone kazi🤣🤣🤣!Ulichoandika hakina tofauti hizi list ya mada hapa chini
1)Gari Range Rover bana lina stability, lipo imara, linanguvu nk sio Passo kigari hakina nguvu, hakina uwezo nk
2)Sehemu ya kuishi Masaki, Osterbay, na Mikocheni bana sehemu haina ushahili, hewa Safi barabara na nyumba nzuri nk sio MBAGALA Kuna uswahili, vijumba hovyo nk
3)Simu iPhone 12 bana camera kali, sijui kioo kizuri, umbo sio iPhone 6 kamera mbovu bla blaa
4)Chakula Wali maharage bana ukimix na nyama choma na maziwa pembeni juisi sio Ugari wa muhogo na dagaa chungu
Hizi mada unaweza andika hata 1000 sidhani Kuna mtu ajui kitu kizuri ni kipi ila uwezo wa pesa ndio unaamua mtu anunue au achague huduma gani unamfananishaje International school watu wanalipa ada mpaka million 70 pale IST unafananisha na english medium ada laki kadhaa unafikiri sisi hatuzijui hizo international wewe ndio unazijua Sana tuwekee Billion 700 kwenye bank then uwone jinsi gani tunajua vutu vizuri kuliko wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuna wengine nawaonaga pale Mwembe Yanga, Temeke mpira mmoja watoto kama 60 wanaufukuzia kama mbuzi wa Eid.English Medium zenye viwanja tu vya michezo ni za kutafuta kwa tochi, nyingi zimepewa usajiri bila kuwa na kiwanja cha michezo, Saa za michezo wanacho fanya ni kuwapa watoto mpira wakakimbizane wenyewe kwenye eneo la assembly, zingine watoto wanachezea humo humo Darasani.
Uingereza wameweka kwenye mitaala yao kabsaa.Huko unakosema International school ushoga ndo umetapakaa cz wanafundishwa ku practise kabisa
Shule gani hiyo, mbona shule nyingi tz ziko maporini? Wanakosaje uwanja wa mpira.Toka ndani ya box hilo.Sawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gari
Unataka mtaala wa Cambridge? Unajua unachoongea? Utalazimika kutumia vitabu vyao na kufanya mitihani yao ambayo lazima ulipie uingereza sababu wana copyright ya elimu yao na quality ya elimu yao lazima ithibitishwe na waoOk. Waziri wa elimu aichukue hii na kuifanyia kazi. Tunataka mwaka kesho shule zote za Tanzania ziwe international. Na huo mtaala wenu mpya wa elimu feki pelekeni kule zanzibar, sisi tunaka mtalaa wa Cambridge
Ada Minimum shilingi milioni 18 kwa mwakaNa ada za International School zikoje vile?😏
Kingereza ni mtaji.Hizo English Medium hapo ndio wabako kamatia Wazazi na mbaya zaidi ni Kingereza cha kuongea na sio cha kuandika
Hahahah ishu sio kujua vitu vizuri ishu ni ku afford. Umenikosha sana uliposema waweke billion 700 kwenye account waone kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Kwangu mie hio 700 mbali mno waniwekee B 100 tu waone kitu ntafanya. Kipato ndio kinakwamisha kufanya maamuzi sahihi. Kuna mambo ambayo fisadi anaweza kuyafanya ila mwananchi wa kawaida utaishia kuyaota tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]