whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Vipaji vinaibukia hukoMichezo ikusaidie nini brother africa hii.Yan uende shule ukacheze seriouslly?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipaji vinaibukia hukoMichezo ikusaidie nini brother africa hii.Yan uende shule ukacheze seriouslly?
Ahahah ni kwel nilikua namzingua tu huyo HIMARS .. kwa mtoto michezo ni crucial.wengi tulikua tunapenda shule kipaumbele ni vile kucheza cheza kisha masomo yanafuata namba 2.So kadiri unakua ndio priorities zina shift sasa elimu inakua namba moja na wengine wanaendeleza vipaji..Vipaji vinaibukia huko
Lkn mkuu shule ada 2Mil watoto 1000. Kwa mwaka ninoesa ndg?Ulichoandika hakina tofauti hizi list ya mada hapa chini
1)Gari Range Rover bana lina stability, lipo imara, linanguvu nk sio Passo kigari hakina nguvu, hakina uwezo nk
2)Sehemu ya kuishi Masaki, Osterbay, na Mikocheni bana sehemu haina ushahili, hewa Safi barabara na nyumba nzuri nk sio MBAGALA Kuna uswahili, vijumba hovyo nk
3)Simu iPhone 12 bana camera kali, sijui kioo kizuri, umbo sio iPhone 6 kamera mbovu bla blaa
4)Chakula Wali maharage bana ukimix na nyama choma na maziwa pembeni juisi sio Ugari wa muhogo na dagaa chungu
Hizi mada unaweza andika hata 1000 sidhani Kuna mtu ajui kitu kizuri ni kipi ila uwezo wa pesa ndio unaamua mtu anunue au achague huduma gani unamfananishaje International school watu wanalipa ada mpaka million 70 pale IST unafananisha na english medium ada laki kadhaa unafikiri sisi hatuzijui hizo international wewe ndio unazijua Sana tuwekee Billion 700 kwenye bank then uwone jinsi gani tunajua vutu vizuri kuliko wewe
Kabisa Mo Dewji kasoma International School toka ChekecheaUtakutana nao wapi mkuu? Mo dewji mmoja wao
Kweli na ndo tunapokoseaAhahah ni kwel nilikua namzingua tu huyo HIMARS .. kwa mtoto michezo ni crucial.wengi tulikua tunapenda shule kipaumbele ni vile kucheza cheza kisha masomo yanafuata namba 2.So kadiri unakua ndio priorities zina shift sasa elimu inakua namba moja na wengine wanaendeleza vipaji..
Asante!!! I was just being sarcastic maana mtoa mada anataka huduma za gharama ya juu zitolewe sawasawa na huduma za gharama ya kati/chini.Nadhani kuanzia mil 20 hiv ila kama ist inaenda mpaka milioni 70
Tutoe ushamba mkuu,namna gani ya kutambua shule bora,yenye standards bora na yenye walimu mahiri?Tatizo lenu nyie WaTz ni wajinga, hadi leo hamjui kutambua shule inayotoa elimu bora ni ipi, hamjui shule bora yenye standards ni ipi, hamjui shule bora yenye walimu mahiri ni ipi...
Ni kwa vile mna maarifa dhaifu sana na hamna exposure na hizo International Schools zilipo Tz, mkisikia neno international School mnachanganyikiwa, hamjui zipo international Schools nyingi tu Tz hazina ubora hazina viwango na hazina walimu mahiri...
English medium pia nyingi hazina sifa ila zinaendelea kuongezeka kwasabab WaTz ni washamba, wao wakisikia shule ni English medium basi anapeleka mtoto huko...
Kwasabab ya ushamba wenu ndiyo maana mmeishia kuwapeleka watoto wenu kwenye hizo shule na mwisho wa siku wamelawitiwa na kuanza ushoga...
Ni usanii kweli kuwaridhisha wazazi wajinga na wazungu.Kiswahili ndio lugha inayotawala kila sehemu hapa kwetu.Bado naamini Elimu iko kwenye shule za International School tu, kule kuna world clasll education, English medium ni utapeli mkubwa sana.
International School watoto hawasomi tu just kusoma kama ilivyo English Medium, kule watoto wanafunsdishwa skills zote za maisha kama wanazo taka, na hata mtoto akiwa peke yake anataka skills fulani atatafutiwa mwalimu.Kuna mtoto fulani ni Arusha yeye alikuwa anataka kujifunza Lugha ya Kichina, ilibidi atafutiwe mwalimu wa kichina.
- Michezo, wanaviwanja ambayo vina levo sawa na vya kuchezea ligi.
- Muziki, Wana vifaa vyote vya kujifunzia mziki.
- Michezo ya kila aina, Baiskel, Tenesi, Mpira wa miguu, Basket ball na mingin meingi na kumbuka wana walimu qualifoed kwa kila idara ya michezo.
- Mabwawa ya kujifunza kogelea,
Mfumo wa kufundishwa wanao tumia ni ule shirikishi yaani sana wanatumia discusion na presentantions ndio maana watoto wana kuwa na confidence sana kwa sababu ya presentation na discusion nyingi sana Darasani.
Njoo English Medium sasa;
English Medium zenye viwanja tu vya michezo ni za kutafuta kwa tochi, nyingi zimepewa usajiri bila kuwa na kiwanja cha michezo, Saa za michezo wanacho fanya ni kuwapa watoto mpira wakakimbizane wenyewe kwenye eneo la assembly, zingine watoto wanachezea humo humo Darasani.
- Zimejikita sana kukaririsha watoto kuongea kingereza ili kuwa brainwash wazazi.
- Homework ndio nyingi sana plus tuition, yaani mzazi analipishwa ada na pia analipiswa pesa ya tuition.
Narudia tena ukiondoa kuwakariririsha watoto kingereza hakuna kitu kingine hizi shule zina offer kwa mtoto.
Kimsingi huyu hoja hana, yeye ni kama Lema mwenye kutoa mifano ya Kanada na Marekani akisahau kuwa yuko Tanzania.Ana hoja huyu asikilizwe vzr hapa mwishoni.
Nakupa 5. Hapo umeingia katika hoja nzuri. Yule muandika Thread aje atuambie mfuko wake upoje? Ni watanzania wangapi wataweza kulipa ada hiyo. Ndugu zanguni msiwe akina Lema mnaofikiri tunaishi Kanada na Marekani.Tatizo ada za International ni kubwa
Ni kweli mfano International School of Tanganyika ada ya chekechea kwa mwaka mmoja ni shilingi milioni 31 kwa mwaka
Ada hizo hapo
Finances: For the 2022-2023 school year, the annual tuition fees are as follows: early childhood 1-2: $16,100; kindergarten-grade 5: $23,500; grades 6-8: $27,300; grades 9-10: $28,900; and grades 11-12: $33,300. There is also a $1,000 annual capital
fee per child.
Hizi akili zijuathiri wewe tu jitahidi zisije muharibia mtoto wako pia unajua matumizi ya kiingereza kwenye interview na kazini wejamaa.Ni usanii kweli kuwaridhisha wazazi wajinga na wazungu.Kiswahili ndio lugha inayotawala kila sehemu hapa kwetu.
Angalia kwanza mfuko wako kabla hujaamua ni hoteli gani ukale Lunch. Vizuri tunavipenda wote, lakini vizuri na bei zake ziko vizuri. Unachangia hoja kwa namna hiyo wakati utakuta mwanao hata shule ya kata umeshindwa kumlipia.Ok. Waziri wa elimu aichukue hii na kuifanyia kazi. Tunataka mwaka kesho shule zote za Tanzania ziwe international. Na huo mtaala wenu mpya wa elimu feki pelekeni kule zanzibar, sisi tunaka mtalaa wa Cambridge
Umemaliza kila kitu,shida sio kwamba hatuzijui hizo shulee shida ni kwamba mifuko yetu wazazi imeishia English Medium, lakini pesa ilivyo ingekuwepo hata hiyo Tanganyika School tusingepeleka watoto zetu.Hizi mada unaweza andika hata 1000 sidhani Kuna mtu ajui kitu kizuri ni kipi ila uwezo wa pesa ndio unaamua mtu anunue au achague huduma gani unamfananishaje International school watu wanalipa ada mpaka million 70 pale IST unafananisha na english medium ada laki kadhaa unafikiri sisi hatuzijui hizo international wewe ndio unazijua Sana tuwekee Billion 700 kwenye bank then uwone jinsi gani tunajua vutu vizuri kuliko wewe
Niache nunua GARI,niache kujenga Niende kutoa mihela yote hiyo kisa elimu kwa level niliyonayo ni uongo!Nukuu toka kwa YEHODAYA "Ada hizo hapo
Finances: For the 2022-2023 school year, the annual tuition fees are as follows: early childhood 1-2: $16,100; kindergarten-grade 5: $23,500; grades 6-8: $27,300; grades 9-10: $28,900; and grades 11-12: $33,300. There is also a $1,000 annual capital
fee per child"