Shule nyingi zinazoitwa English Medium ni za kisanii tupu

Sawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gari
 
Hizo English Medium hapo ndio wabako kamatia Wazazi na mbaya zaidi ni Kingereza cha kuongea na sio cha kuandika
 
English medoum wanajiamini nini? Mfumo wa ufundishaji ni sawa tu na wa shule za Serikali make mtala ni mmoja,
 
Umeshakutana na watoto waliosoma international school za Tanzania ili ujue kuwa maajabu wanayo au la?
 
Hahahah ishu sio kujua vitu vizuri ishu ni ku afford. Umenikosha sana uliposema waweke billion 700 kwenye account waone kazi🀣🀣🀣!

Kwangu mie hio 700 mbali mno waniwekee B 100 tu waone kitu ntafanya. Kipato ndio kinakwamisha kufanya maamuzi sahihi. Kuna mambo ambayo fisadi anaweza kuyafanya ila mwananchi wa kawaida utaishia kuyaota tu. 🀣🀣🀣

Na hizo shule za hivyo ndio wamejazana watoto wao na watoto wa wafanyabiashara Multimillionaires.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣kuna wengine nawaonaga pale Mwembe Yanga, Temeke mpira mmoja watoto kama 60 wanaufukuzia kama mbuzi wa Eid.
Famchezo nini?
 
Sawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gari
Shule gani hiyo, mbona shule nyingi tz ziko maporini? Wanakosaje uwanja wa mpira.Toka ndani ya box hilo.
 
Tatizo lenu nyie WaTz ni wajinga, hadi leo hamjui kutambua shule inayotoa elimu bora ni ipi, hamjui shule bora yenye standards ni ipi, hamjui shule bora yenye walimu mahiri ni ipi...
Ni kwa vile mna maarifa dhaifu sana na hamna exposure na hizo International Schools zilipo Tz, mkisikia neno international School mnachanganyikiwa, hamjui zipo international Schools nyingi tu Tz hazina ubora hazina viwango na hazina walimu mahiri...
English medium pia nyingi hazina sifa ila zinaendelea kuongezeka kwasabab WaTz ni washamba, wao wakisikia shule ni English medium basi anapeleka mtoto huko...
Kwasabab ya ushamba wenu ndiyo maana mmeishia kuwapeleka watoto wenu kwenye hizo shule na mwisho wa siku wamelawitiwa na kuanza ushoga...
 
Ok. Waziri wa elimu aichukue hii na kuifanyia kazi. Tunataka mwaka kesho shule zote za Tanzania ziwe international. Na huo mtaala wenu mpya wa elimu feki pelekeni kule zanzibar, sisi tunaka mtalaa wa Cambridge
Unataka mtaala wa Cambridge? Unajua unachoongea? Utalazimika kutumia vitabu vyao na kufanya mitihani yao ambayo lazima ulipie uingereza sababu wana copyright ya elimu yao na quality ya elimu yao lazima ithibitishwe na wao

Hapo ndipo ada kwa mwaka utaikuta inasoma sio chini ya milioni 18 kwa mwaka ndio maana imebaki tu kwa private sector na wanaoenda huko kusoma ni watoto wa matajiri kweli kweli sio uchwara

Elimu ya watu hasa ya kimataifa huwezi tu ku copy na kupaste kienyeji lazima uwe licensed na wao na walimu wawe licensed na wao na mitihani na quality zisimamiwe na wao na mitihani watunge wao na kusahihisha wao
Kama una hela kasomeshe huko serikali uwezo huo
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…