Shule nyingi zinazoitwa English Medium ni za kisanii tupu

Sawa sema sasa hizi Englisha Medoum zimekaa kiujanja ujanja sana, hakuna kitu kibaya kwenye kitu kama elimu kuingiza janja janja nyingi sana, mara watoto wawe na nguo za michezo na shule haina hata uwanja wa kupack gari
Boss sio English Medium zote ni za Hovyo! Kuna shule za maana tu!
 

Lengo lako lilikua ni sentensi ya mwisho,hopeless kabisa.
 
umeongea pwenti kubwa sana mkuu
 
Mpeleke mwanao International school inatosha. Chaguo ni lako
 
hakuna lolote jipya huko cambridge. machapisho yao, syllabus, na vitabu vinavyotumika viko wazi, asikudanganye mtu kuwa copyright inakuzuia chochote. inachozuia ni kutumia bila kuonyesha source. hivi unafikiri maswali ya cambridge ni tofauti nacte. cambridge, oxford, au harvard ni jina tu.
 
enzi za nyerere, darasa la kwanza hadi la 4 max 45, tano hadi 8/7 watoto 40, fomu 1-4 watoto 35 na fomu 5=6 watoto 25 hizi ni shule serkali na misheni toka 1956-1970, baadaya hapo sijui.
 
Kama wazazi walinisomesha english medium, wanangu watasoma hizo international curriculum schools.
 
Kuna shule ipo mabibo inaitwa castle hills jamani sijawah Ona English medium ya kisanii ka ile aisee ina kaeneo ka sqr meter kama 1000 hiv af kana wanafunz nursery mpk standard seven machoz yalinitoka nipomkuta mwanangu pale...[emoji22]
 
Mwaka huu dogo kaanza la kwanza. Ndani ya mwezi wakaniambia ana akili zinatosha kua la 2 wakamrusha darasa.

Ana miaka 6. Yupo la 2. Wakati nina miaka 6 nilikua nasoma chekechea kwa mwalimu mjaluo
 
[emoji28]


Nyakati hiz sio kama zetu
Mkuu vijana wana akili sana zama hiz
 
kuna english medium zipo watoto wanafundishwa hadi ufugaji, nidhamu n.k, wazazi tumekuwa wapumbavu kupindukia, hatufanyi utafiti, hatufatilii, tumejikita kutafuta pesa tu masaa 24 na kuwaachia walimu watulelee watoto. Pumbavu kabisa.
 
Tafuta hela acha kulia lia mitandaoni.

Hizo English medium zinatifautiana ubora kulingana na gharama zinazolipwa .Huwezi kufananisha shule yenye ada ya milioni 2 iwe sawa na shule wanayolipa million 7 na kuendelea .
 
Hii miyihani ya Cambridge inakubalikoa hapa Tanzania mfano katika vyuo?

Nini faida ya kufanya mitihani ya Cambridge?
 
Wewe hiyo 'divisheni foo' uliipata ukiwa hizo hizo so called English medium?

Sio kila anayeongea ukweli hajapitia hizo shule bali wengine wamepitia wameona ubabaishaji tu.

Nani alikudanganya kujua kiingereza ndiyo kuwa na uelewa wa mambo? Hao hao wa english medium wanapata division zer, four nakadhalika kwenye mitihani ya kitaifa.
 
Faida ya Cambridge ni nini wakuu.
Inabidi nifanye maamuzi kama mzazi ila sina uelewa wa jambo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…