katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Uzi uishie apa.. Ushamaliz kula kitu... vinginevyo tuende arusha sec. kalolen sec. Muriet sec [emoji1787]International School of Moshi, Jaffery, Breburn, St.Constatine, Angelico Lipan e.t.c ni wewe tuu na budget yako
International School of Moshi, Jaffery, Breburn, St.Constatine, Angelico Lipan e.t.c ni wewe tuu na budget yako
Je bei zake wanacharjije kwa per terms na je zipo term ngapi?? Na hizi shule nikuanzia nursery mpaka secondary naomba kujuaInternational School of Moshi, Jaffery, Breburn, St.Constatine, Angelico Lipan e.t.c ni wewe tuu na budget yako
Ada yake je terms zipo ngapi?? Hiyo ni kwa nursery pekee yake au na secondary??Binafsi nimesoma Angelico lipani, hutojutia.
Angelico haina secondary, ni kuanzia nursery na primary level class seven tu. Kuhusu malipo mkuu nimemaliza pale 2012 sina kumbukumbu vizuri sana. Ila kwa vigezo vya education ni best schools, najivunia sana kujifunza lugha ya kiingereza pale kwa mana kila mahala huwa nasifiwa, na tabia pia njema sana. Ahsante
Dah😂Uzi uishie apa.. Ushamaliz kula kitu... vinginevyo tuende arusha sec. kalolen sec. Muriet sec [emoji1787]
Ukishaanza kuulizia ulizia bei kuna wasiwasi mkubwa sana kwamba wewe hizo shule hautaziweza 😀😀Je bei zake wanacharjije kwa per terms na je zipo term ngapi?? Na hizi shule nikuanzia nursery mpaka secondary naomba kujua
angelico sio internationalAngelico Lipan
Wewe utakuwa mwenyeji wa maji ya chai haswaaaST. Fransis de Sales, Precious blood
Breuben ada yake ni nyoko [emoji119]Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu .
Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery muongozo wenu ni muhimu sana .
Ni international School ?Binafsi nimesoma Angelico lipani, hutojutia.
Kwanini mkuuWewe utakuwa mwenyeji wa maji ya chai haswaaa
Ada inazidi ya chuo kikuukuna international school of moshi, braeburn, jaffery academy(hii ni sekondari tu), saint constantine, tanganyika junior school(nursery)