run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Mtoto wa Bos mmoja nampata vema na huwa ananiambia ishu zake za family alifeli hapo Jeffrey academy sasa kurisit mtihani mmoja ilikuwa kama 3600,000Tsh na alitaka kurisiti kama masomo manne na nikuristi siyo kukaa darasan ni mtihani Tu utakuja kufanya.. imagine..
Ila baadaye naona aliona mtoto ubishioo mwingi akampeleka diploma canada
Ila baadaye naona aliona mtoto ubishioo mwingi akampeleka diploma canada