Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu .

Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery muongozo wenu ni muhimu sana .
1. Braeburn ipo nursery na seconday
2. ISM nayo ipo nutsery na secondary
3. St. Constantine nayo inazo nursery na Sec
 
internationa school hizo shule wazazi hawanaga mawazo ya gari litaekwa mafuta kiasi gani,vocha,chakula,mavazi,kodi za nyumba,nk

yani mtu anaesomesha international huyo ni BONGO BAHATI MBAYA zile shule sijui kwakweli huwa natamani nifanye mahojiano na mtoto aliepta hizo shule anisimulie,nmskie akiongea

nimuulize maswali magumu nione anavyonijibu, ki ukweli tuacheni tu masihara international schools,tuzione tu kwa mbali ila ukipewa Ulipie tu ada ya Msosi wa mtoto wa hizo shule utashangaa.
 
Back
Top Bottom