Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

Kuna UTOFAUTI kati ya international school na English medium.

#YNWA
International school mara nyingi ni shule zinazofuata mitaala ya nchi za ulaya hasa Cambridge lakini pia zinakua na option
English medium zinafata mitaala yetu ila wanatumia kiingereza kufundishia
Mara nyingi wanaosoma International schools ni watoto wa mabalozi au watu wa nje ya nchi lakini wamehamia huku kwahio ili mtoto wao asome kama wanavyosoma kule akiwa hapa nchini lakini pia hata mtanzania anayehitaji mtoto wake apate treatment kama yuko nje ya nchi kwa vile zinakua zina wanafunzi wengi wa mataifa mbalimbali na International schools mara nyingi ada yao ni kubwa hadi kufikia dola 20000 kwa mwaka arusha inabahati ya kuwa na International schools nyingi ambapo ziko 10
International school moshi (arusha campus)
Braeburn
St. Constantines
Kennedy House ( usa river)
Sunflower
uwc East africa
Feza International school
Arusha meru International school hii ni mpya
Christ Church international school
Na Black Rhino karatu
 
internationa school hizo shule wazazi hawanaga mawazo ya gari litaekwa mafuta kiasi gani,vocha,chakula,mavazi,kodi za nyumba,nk

yani mtu anaesomesha international huyo ni BONGO BAHATI MBAYA zile shule sijui kwakweli huwa natamani nifanye mahojiano na mtoto aliepta hizo shule anisimulie,nmskie akiongea

nimuulize maswali magumu nione anavyonijibu, ki ukweli tuacheni tu masihara international schools,tuzione tu kwa mbali ila ukipewa Ulipie tu ada ya Msosi wa mtoto wa hizo shule utashangaa.
😁 unajikunjua milioni 70 kila mwaka,
 
Watoto wa pale hata kiswahili chao wanakitafuta sana kuna yule binti msanii anaitwa abby chams mtafute umsikie
 
International school mara nyingi ni shule zinazofuata mitaala ya nchi za ulaya hasa Cambridge lakini pia zinakua na option
English medium zinafata mitaala yetu ila wanatumia kiingereza kufundishia
Mara nyingi wanaosoma International schools ni watoto wa mabalozi au watu wa nje ya nchi lakini wamehamia huku kwahio ili mtoto wao asome kama wanavyosoma kule akiwa hapa nchini lakini pia hata mtanzania anayehitaji mtoto wake apate treatment kama yuko nje ya nchi kwa vile zinakua zina wanafunzi wengi wa mataifa mbalimbali na International schools mara nyingi ada yao ni kubwa hadi kufikia dola 20000 kwa mwaka arusha inabahati ya kuwa na International schools nyingi ambapo ziko 8
International school moshi (arusha campus)
Braeburn
St. Constantines
Kennedy House ( usa river)
Sunflower
uwc East africa
Feza International school
Arusha meru International school hii ni mpya
Rhino Academy umesahau...

Brook House ya Kenya wapo mbioni
 
Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu .

Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery.

Muongozo wenu ni muhimu sana .
kwanza uelewe international school haifuati mtaala wa tz. Ukikuta shule inajiita international school na inafundisha kwa kufuata mtaala na wanafanya mitihani ya baraza la mitihani la tz hiyo siyo international. Ni english medium.
 
Ila kweli ni utajipiga tafu kweli kweli list zake sasa hadi basi kwa sec mtoto analindwa kwa mwaka ml 20.3 primary analindwa ml 9.6

Shule ya kwanza kwa bei ghali arusha na tz ni
 
Attachments

  • Screenshot_20230829-162149_Chrome.jpg
    Screenshot_20230829-162149_Chrome.jpg
    184.4 KB · Views: 25
Back
Top Bottom