Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Wadogo zangu wasesoma Angelico Lipani lakini sio International School hiyo.Binafsi nimesoma Angelico lipani, hutojutia.
Hamna ni English medium tuHiyo ni international ?
Kuna UTOFAUTI kati ya international school na English medium.Uzi uishie apa.. Ushamaliz kula kitu... vinginevyo tuende arusha sec. kalolen sec. Muriet sec [emoji1787]
International school mara nyingi ni shule zinazofuata mitaala ya nchi za ulaya hasa Cambridge lakini pia zinakua na optionKuna UTOFAUTI kati ya international school na English medium.
#YNWA
😁 unajikunjua milioni 70 kila mwaka,internationa school hizo shule wazazi hawanaga mawazo ya gari litaekwa mafuta kiasi gani,vocha,chakula,mavazi,kodi za nyumba,nk
yani mtu anaesomesha international huyo ni BONGO BAHATI MBAYA zile shule sijui kwakweli huwa natamani nifanye mahojiano na mtoto aliepta hizo shule anisimulie,nmskie akiongea
nimuulize maswali magumu nione anavyonijibu, ki ukweli tuacheni tu masihara international schools,tuzione tu kwa mbali ila ukipewa Ulipie tu ada ya Msosi wa mtoto wa hizo shule utashangaa.
Watoto wa pale hata kiswahili chao wanakitafuta sana kuna yule binti msanii anaitwa abby chams mtafute umsikieinternationa school hizo shule wazazi hawanaga mawazo ya gari litaekwa mafuta kiasi gani,vocha,chakula,mavazi,kodi za nyumba,nk
yani mtu anaesomesha international huyo ni BONGO BAHATI MBAYA zile shule sijui kwakweli huwa natamani nifanye mahojiano na mtoto aliepta hizo shule anisimulie,nmskie akiongea
nimuulize maswali magumu nione anavyonijibu, ki ukweli tuacheni tu masihara international schools,tuzione tu kwa mbali ila ukipewa Ulipie tu ada ya Msosi wa mtoto wa hizo shule utashangaa.
Umesahau Rhino Academy KaratuInternational Schools nenda ISM, Braeburn, Kennedy House, St. Constantine, Sunflower (0-5).
Nouma sanaMkuu ukute ni x wako
Rhino Academy umesahau...International school mara nyingi ni shule zinazofuata mitaala ya nchi za ulaya hasa Cambridge lakini pia zinakua na option
English medium zinafata mitaala yetu ila wanatumia kiingereza kufundishia
Mara nyingi wanaosoma International schools ni watoto wa mabalozi au watu wa nje ya nchi lakini wamehamia huku kwahio ili mtoto wao asome kama wanavyosoma kule akiwa hapa nchini lakini pia hata mtanzania anayehitaji mtoto wake apate treatment kama yuko nje ya nchi kwa vile zinakua zina wanafunzi wengi wa mataifa mbalimbali na International schools mara nyingi ada yao ni kubwa hadi kufikia dola 20000 kwa mwaka arusha inabahati ya kuwa na International schools nyingi ambapo ziko 8
International school moshi (arusha campus)
Braeburn
St. Constantines
Kennedy House ( usa river)
Sunflower
uwc East africa
Feza International school
Arusha meru International school hii ni mpya
Safi sanaRhino Academy umesahau...
Brook House ya Kenya wapo mbioni
Na mimi nimesha msutukia, wanye uwezo wa hizo shule hawaulizi bei lakini huuliza huduma zao za ziada.Ukishaanza kuulizia ulizia bei kuna wasiwasi mkubwa sana kwamba wewe hizo shule hautaziweza [emoji3][emoji3]
Kuna watu million 20 ni kama 20000 brazaNa mimi nimesha msutukia, wanye uwezo wa hizo shule hawaulizi bei lakini huuliza huduma zao za ziada.
Mazingira mazuri sana na eneo kubwa kwa ajili ya shuleAnataka international, hizi ni Medium. Hivi kwanini hizi shule zipo ndani ndani?
kwanza uelewe international school haifuati mtaala wa tz. Ukikuta shule inajiita international school na inafundisha kwa kufuata mtaala na wanafanya mitihani ya baraza la mitihani la tz hiyo siyo international. Ni english medium.Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu .
Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery.
Muongozo wenu ni muhimu sana .
Ila kweli ni utajipiga tafu kweli kweli list zake sasa hadi basi kwa sec mtoto analindwa kwa mwaka ml 20.3 primary analindwa ml 9.6kwanza uelewe international school haifuati mtaala wa tz. Ukikuta shule inajiita international school na inafundisha kwa kufuata mtaala na wanafanya mitihani ya baraza la mitihani la tz hiyo siyo international. Ni english medium.
Angelico lipan siku hizi imekuwa international?International School of Moshi, Jaffery, Breburn, St.Constatine, Angelico Lipan e.t.c ni wewe tuu na budget yako
Abby anamatumizi mabaya na lugha ya englishWatoto wa pale hata kiswahili chao wanakitafuta sana kuna yule binti msanii anaitwa abby chams mtafute umsikie