KERO Shule ya Bungo Mlimani ni changamoto, wanafunzi wanachelewa kutoka

KERO Shule ya Bungo Mlimani ni changamoto, wanafunzi wanachelewa kutoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Shule za vijijini huwa wanarudi huo mda, ila shule wanaenda saa 5, wanapishana na drs la 1.
 
Acha wasome ili watoe ujinga na wasiwe kama wale wajinga wasiotofautisha L na R waliojaa ugali kichwani kiasi cha kuandika "wai" badala ya "wahi".
Yani mtu akishachanganya R na L A na H namshusha thamani hata kama ni prof..miaka ya nyuma kidogo nilijua waandishi wabovu ni ambao shule haikuwa upande wao lakini leo hii ukiona mwandiko wa kijana mwenye diploma unajiuliza hivi huyu alienda kusomea ujinga au alienda kutoa ujinga..ni huzuni kwa kweli...uwakute sasa kwenye online TV ni unprofessional wamejaa kule mpaka editors ni mbulula hajui nn aedit nini kiende hewani.
 
Kabisa mkuu,uyu tatizo amekua na ujinga wake awezi kuacha
Badilika na Wewe bro,kwanini unaandika Kwa rafudhi,Andika maneno yanavyopaswa kuandikwa
Uyu=huyu
Awezi=hawezi
Tatizo liko wapi hapo?utakuja kupishana na gari la mshahara Kwa makosa madogo madogo mtu anakuchukulia namna gani vipi,kumbe una Akili zako timamu tu!
 
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.

Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi na Moja jioni, akiwahi sana ni saa kumi jioni. Hapa mtoto anateseka sana kuanzia njaa plus uchovu, pia Kuna risky kubwa ya watoto kupotea maana wanarudi muda umeenda sana wakati mwingine mvua kubwa zinanyesha.

Ratiba ya mtoto wa darasa la pili kutoka darasani kurudi nyumbani kachelewa sana saa saba na nusu.

Kwa wenye taaluma hii mje hapa msaidie jamvi, je hii ni sawa? Na taratibu gani itumike kisheria kumdhibiti mwalimu huyu anayewatesa watoto kiafya.

Nasubiria ushauri ulio thabiti.
Najua wenye sekta hii mpo humu ndani🙏🏽
Ni private au government?
 
Back
Top Bottom