KERO Shule ya Bungo Mlimani ni changamoto, wanafunzi wanachelewa kutoka

KERO Shule ya Bungo Mlimani ni changamoto, wanafunzi wanachelewa kutoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hudhurieni vikao vya wazazi ni muhimu. Mambo yote kama haya, huishia huko
Apa watu washasema sana kwenye vikao ila anafanya n kichwa ngumu,ila baada ya kuweka apa nazan watu wa idara husika wamelifanyia Kaz tokea siku Ile watoto wanawai kutoka angalau sa tisa wakichelewa sa tisa sio kama mwanzo alikua anawatoa sa kum na Moja jion au kumi na mbili
 
Alikuwa anawafundisha nini?
 
Sasa unataka awe kama Mkude muuza ndizi hapo Jamhuri au Forest? Acha mtoto asome Bungo shule nzuri mlimani nzuri pia zote mimi nimesomaaa......enzi hizo....acha asomee banaa salaam Patel hapo .....au Knyembe....pambana mtoto asome....asije kuwa bouncer wa Moro Hotel au Chawa Wadosi awe mpiga debe ma bus matajiri wenu wa Moro.....kama Bondia wenu huyo.....Mandonga...acha mtoto asome....
 
Walimu Sasa Hivi Wanataka Pesa Kwa Wanafunzi Wawafundishe Masomo Ya Ziada
 
Back
Top Bottom