MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Nilijikita kumrekebisha mtoa taarifa badala ya kujibu hoja kwani alikuwa ameandika vitu vya kuumiza kichwa. Karekebisha tayari na taarifa imekaa vizuri.Mkuu mtoto wa la 2 atoke nyumbani ahsubuhi arudi sa 11 jioni ikiwa hata wa darasa la sita anarudi saa kumi upo serious?
Unaruka ruka kama maharage, shida ninikama una nyash nitumie picha nione kama inaridhisha nije kukushughulikia vizuri bila vilainishi ushike adabu
Ni government ila mazingira Yao ipo Kama private gate ukuta na ndan tiles,umeme nkNi private au government?
Kabisa mkuuHii sasa hatarii. Lol
Oya nipe tender ya kumpeleka na kumrudisha mwanao....Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi na Moja jioni, akiwahi sana ni saa kumi jioni. Hapa mtoto anateseka sana kuanzia njaa plus uchovu, pia Kuna risky kubwa ya watoto kupotea maana wanarudi muda umeenda sana wakati mwingine mvua kubwa zinanyesha.
Ratiba ya mtoto wa darasa la pili kutoka darasani kurudi nyumbani kachelewa sana saa saba na nusu.
Kwa wenye taaluma hii mje hapa msaidie jamvi, je hii ni sawa? Na taratibu gani itumike kisheria kumdhibiti mwalimu huyu anayewatesa watoto kiafya.
Nasubiria ushauri ulio thabiti.
Najua wenye sekta hii mpo humu ndani๐๐ฝ
Aise ata kama wee unaishi mbinguni lakini sio kwa kutukosea hivyo wanamorogoro.Morogoro sio sehemu ya kuishi hiyo ni Parking ya Abood
Acha madharau basi mkuu ๐๐Morogoro sio sehemu ya kuishi hiyo ni Parking ya Abood
Mchikini ipi chini pamoja na bungo,ila bungo primary ipo shule ya forest secondary Kwa juu kidogoBungo bila shaka ipo kando ya ile barabara ya kwenda flat za kingaru au shule ya forest nadhani kuna nyingine jirani sijui inaitwa mchikichini
Tatizo hilo hata Dar. lipo.Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi na Moja jioni, akiwahi sana ni saa kumi jioni. Hapa mtoto anateseka sana kuanzia njaa plus uchovu, pia Kuna risky kubwa ya watoto kupotea maana wanarudi muda umeenda sana wakati mwingine mvua kubwa zinanyesha.
Ratiba ya mtoto wa darasa la pili kutoka darasani kurudi nyumbani kachelewa sana saa saba na nusu.
Kwa wenye taaluma hii mje hapa msaidie jamvi, je hii ni sawa? Na taratibu gani itumike kisheria kumdhibiti mwalimu huyu anayewatesa watoto kiafya.
Nasubiria ushauri ulio thabiti.
Najua wenye sekta hii mpo humu ndani๐๐ฝ
Kuna bungo na bungo mlimani?Mchikini ipi chini pamoja na bungo,ila bungo primary ipo shule ya forest secondary Kwa juu kidogo
Balaaaa. Wanatuharibia watoto alafu wasipo penda shule wanawapa lawama watoto. Ata mie nisingependa shule kwa ratiba hiyoTatizo hilo hata Dar. lipo.
Tatizo hilo hata Dar. lipo.
Weeee shika adabu yako usiiachieMorogoro sio sehemu ya kuishi hiyo ni Parking ya Abood
Yeah mkuuKuna bungo na bungo mlimani?
Wewe sasa ndio umekurupuka ๐๐๐ uyu mwalimu ana jifanya ni kichwa kibovu hamsikilizi ata mkuu wake wa shule ambae ndio boss wake je atamsikiliza mzazi?,pili kuusu no apo Umepuyanga mkuu๐๐ Nina no za viongozi wote wa mkoa morogoro mjini Kwa vijijini ila kabla ya Yote nimeomba ushauri apa pia najua Kuna watu wa sekta iyo wapo umu (wizara ya elimu) ivyo kama mada haikuusu pita kushoto mkuu๐๐ฝUnachokifanya hapa ndiyo sababu ya elimu kuzorota kila siku.
Suala la elimu ni pembetatu; mzazi, mwanafunzi, mwalimu.
Wewe kama mzazi wa mwanafunzi, unatakiwa kuwa na mawasiliano na mwalimu wake. Muulize akujuze sababu. Na pia, hudhuria kwenye vikao vya walimu na wanafunzi ili upeleke malalamiko yako huko mjadili pamoja na wazazi wenzako.
Unakurupukia huku. Inaonesha huna hata namba ya mwalimu wa darasa analosoma mwanao.