Baba David
Member
- Jun 21, 2022
- 65
- 103
Tatizo la msingi hapa ni usingo maza. Angekuwa na mwanaume wa kumuongoza asingefanya jambo la kitoto kama hilo la kumuamini mtu kiajabuajabu. Atafute mume kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujasoma kuwa mleta mada ni single parent???Ampigie ili amsaidie kulipa ada anayodaiwa??
Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule ya English Medium dhidi ya watoto wangu.
Ni hivi baada ya kuachana na baba wa watoto wangu niliwapeleka wanangu kwa bibi yao Mwanza.
Wakati nawapeleka Mwanza mkubwa alikuwa kafikisha umri wa kuingia darasa la kwanza na mdogo alikuwa na umri wa kuingia chekechea.
Walipo fika mwanza nikawapeleka kwenye shule moja ya English Medium. Mwalimu wa shule hiyo ambae alikuwa jirani yangu ndio alie nishawishi niwapeleke watoto wangu kwenye shule hiyo kwa sababu alisema walikuwa na utaratibu mzuri wa malipo na walikuwa wanachukua hata shilingi elfu hamsini kwa mwezi au themanini.
Niliona inanifaa kwa sababu iliendana na kipato changu. Baba wa watoto pia alikuwa ana toa sapoti ya ada. Kweli nilienda nikalipa hela watoto wakasajiliwa wanapewa na prem number wakaanza kusoma. Pesa nililipa kwa huyu mwalimu kwa sababu aliniambia pesa niwe nalipa kwake yeye anaziwasilisha kwa uongozi kwa sababu walikuwa wanapewa commission na shule kwa kila mwanafunzi watakae mpeleka shuleni. Sikuwa Mimi tu pia kuna baadhi ya wazazi walikuwa wanalipa kwa utaratibu huo. Niliwaacha watoto kwa bibi yao nikarudi zangu Dar kuendelea na shughuli zangu. Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao.
Fast forward mwaka jana mwezi wa saba wakati wa likizo nilipiga simu kwa huyo madam kwamba ninataka kuwahamisha watoto wangu kuwaleta Dar anisaidie kuongea na uongozi tupate prem numbers za watoto. Madam akaniambia analishughulikia but akaniambia kwa wakati huo wa likizo watoto wanatakiwa kuwa shuleni hivyo ninatakiwa kulipa shilingi elfu themanini ambayo kama ilivyo kuwa siku zote alitaka niilipe kupitia simu yake. Lakini Mimi nilimwambia Nina wachukua watoto waje Dar ili niwe nao kwa ukaribu zaidi. Akasema sawa atashughulikia suala la uhamisho. Siku iliyo fuata nikampigia sikumpata nikaona nimtume mdogo wangu aende kuchukua namba za mwalimu mkuu wa shule.
Nilipo ongea na mwalimu mkuu wa shule cha kushangaza akasema huyo madam sio mwalimu wa hapo kwa zaidi ya miezi miwili na kwamba amewaliza wazazi wengi ambao walikuwa wanampa pesa yeye. Nikauliza sasa kuhusu haki za watoto wangu vipi kwa sababu ninataka kuwahamisha ma huyo mwalimu alikuwa mwajiriwa wao wanatusaidia vipi sisi wazazi tulio muamini na kumlipa pesa zetu?
Pili nikamwambia atazame kama watoto wamesajiliwa kwa sababu nilimpa shilingi laki moja na elfu sitini kama gharama za usajili kwa kila mtoto.
Niliogopa sana nilihisi huenda hata hiyo shule yenyewe haina usajili.
Mkuu akasema wacha atazame kuhusu status ya wanafunzi hao pamoja na rekodi zao za ada.
Kuhusu status ya usajili akasema watoto wote wana prem numbers ingawa gharama za kuwasajili pia nilipigwa.
Kuhusu ada nikaambiwa nadaiwa shilingi milioni moja na laki 2 kwa sababu tangu watoto waanze kusoma kwenye shule hiyo hawajawahi lipa hata senti tano.
Nikajiuliza how comes mnasema watoto hawajawahi lipa hata senfi wakati hadi matokeo ya watoto yapo nyumbani.
Walifanya vipi mitihani bila kulipa hata senti 5?
Walipata vipi prem numbers kama hawajawahi kulipa hata senti tano?
Nilifadhaika sana na nilianza kukosa imani na hiyo shule kabisa.
Niliwaagiza watoto wangu Dar then nika watafutia shule ya kawaida ya kiswahili. Nili ichagua shule hii kwa sababu ipo karibu na mahali ninapo ishi lakini pili sina uwezo wa kulipa kwenye shule za English Medium kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha na uwezo wangu kifedha kushuka na sapoti ya baba watoto imekuwa ndogo.
Kingine nilikosa kabisa imani na shule za English Mediums hasa hizi zinazo Anza Anza zenye wanafunzi wachache. Bado nilikuwa na kidonda kibichi kutoka kwa shule hiyo waliyo soma watoto wangu.
Nilipata nafasi kwenye shule ya kiswahili huku nikipambana kuomba shule waliyo kuwa wanasoma wawahamishe wanangu kwenye mfumo wawatoe kwenye shule yao wawahamishie kwenye shule hii mpya. Lakini cha ajabu muda wote wamekuwa wakinipiga danadana wanadai niwalipe pesa ambayo kiufupi hawanidai.
Sasa hivi darasa la nne wapo kwenye usajili wa mitihani ya taifa huyu mwanangu jina lake bado linasoma kwenye shule aliyo toka.
Walimu wanasema asipo hamishwa ndani ya deadline maana yake ni kwamba atatakiwa kwenda kufanya mtihani kwenye shule ile ile ambayo ni ya kiingereza au atatakiwa kurudia shule na kama akirudia basi prem number yake itaendelea kusoma juu yani itaonekana yupo darasa la 5 wakati yupo darasa la 4 yani kiufupi ndoto za mwanangu kitaaluma ndio zinakuwa zimeishia hapo. Sasa Mimi naomba msaada wa mamlaka zinazo husika zinisaidie ili mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la 4 ambayo inataka kupokwa na wamiliki wa shule aliyo toka bila justification yoyote. Sheria na taratibu za elimu ya Tanzania zina kataza mtoto kunyimwa haki ya kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile inayo husiana na fedha. Uongozi wa hiyo shule ya English Medium unataka kuvunja sheria hii kwa kumkosesha mwanangu haki yake ya kufanya mitihani ya darasa la nne kwa sababu ya deni hewa. Mtoto wangu ameshinda analia siku nzima ya leo anauliza sasa mama itakuwaje..
Naomba msaada tafadhali. Namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua ada zipo namba za mkurugenzi wa shule zipo namba za mkuu wa shule zipo na risiti zote ambazo zilikuwa zinaandikwa kwamba mwanangu amelipa ada pia zipo kwa bibi wa watoto. Nipo tayari kuziwasilisha risiti hizo mbele ya uongozi wa shule kama zikihitajika ila kwa sasa ninacho hitaji ni mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la nne.
Uwepo wa namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua hela zangu pamoja na as wazazi wengine utarahisisha kukamatwa kwa huyo mwalimu ili alipe hizo pesa alizo Chukua. Niliwaambia uongozi wa shule wanisaidie huyo mwalimu akamatwe lakini wamekuwa wanapiga danadana kana kwamba wana mkingia kifua au wana ogopa kuchafua taswira ya shule yao.
Naomba msaada pia huyu madamu akamatwealipe hizo hela alizo Kula lakini wakati zoezi la kumtafuta na kumuweka ndani huyu madamu linaendelea naomba watoto wangu wapewe haki yao ya uhamisho.
Serikali waki hitaji ni disclose taarifa za hiyo shule pamoja na majina ya huyo madam wanae sema amekimbia na hela pamoja na majina ya uongozi nipo tayari kufanya hivyo.
Yericko Nyerere
Mh.
Dkt. Gwajima D
Viambata gani wakati yeye alikuwa anampa mtu hela 😂😂Mbona rahisi tu Mademoiselle,
Nenda Kwa DC wa eneo shule hiyo ilipo na viambata vyote ulivyonavyo, Utapata msaada wa haraka.
Kila la kheri.
Kwa hio single mother hawalipi ada ?Kwani hujasoma kuwa mleta mada ni single parent???
Kwanini wanawake hampendani??
Mleta mada kayavaga,Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.
Single parents ndo wanalipiwa ada na waziri wa Elimu??? Alifuata nini kwenye shule za gharama wakati Serikali ina Shule za bure. Alipe ada ya awatu anayodaiwa full stop.Kwani hujasoma kuwa mleta mada ni single parent???
Kwanini wanawake hampendani??
"Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao."Viambata gani wakati yeye alikuwa anampa mtu hela 😂😂
Yaani maelezo yote haya unayoelezea malalamiko kibao na bado umeshidwa ata kutaja jina la hiyo shule (English medium) ambayo wamekataa kuwahamisha wanao!!! Sasa unaomba msaada upi wakati unashiriki kumficha mtuhumiwa wako? Mie naona hii ni story kama story nyingine tu ila story hii imekosa mtu wa kuihariri!Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule ya English Medium dhidi ya watoto wangu.
Ni hivi baada ya kuachana na baba wa watoto wangu niliwapeleka wanangu kwa bibi yao Mwanza.
Wakati nawapeleka Mwanza mkubwa alikuwa kafikisha umri wa kuingia darasa la kwanza na mdogo alikuwa na umri wa kuingia chekechea.
Walipo fika mwanza nikawapeleka kwenye shule moja ya English Medium. Mwalimu wa shule hiyo ambae alikuwa jirani yangu ndio alie nishawishi niwapeleke watoto wangu kwenye shule hiyo kwa sababu alisema walikuwa na utaratibu mzuri wa malipo na walikuwa wanachukua hata shilingi elfu hamsini kwa mwezi au themanini.
Niliona inanifaa kwa sababu iliendana na kipato changu. Baba wa watoto pia alikuwa ana toa sapoti ya ada. Kweli nilienda nikalipa hela watoto wakasajiliwa wanapewa na prem number wakaanza kusoma. Pesa nililipa kwa huyu mwalimu kwa sababu aliniambia pesa niwe nalipa kwake yeye anaziwasilisha kwa uongozi kwa sababu walikuwa wanapewa commission na shule kwa kila mwanafunzi watakae mpeleka shuleni. Sikuwa Mimi tu pia kuna baadhi ya wazazi walikuwa wanalipa kwa utaratibu huo. Niliwaacha watoto kwa bibi yao nikarudi zangu Dar kuendelea na shughuli zangu. Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao.
Fast forward mwaka jana mwezi wa saba wakati wa likizo nilipiga simu kwa huyo madam kwamba ninataka kuwahamisha watoto wangu kuwaleta Dar anisaidie kuongea na uongozi tupate prem numbers za watoto. Madam akaniambia analishughulikia but akaniambia kwa wakati huo wa likizo watoto wanatakiwa kuwa shuleni hivyo ninatakiwa kulipa shilingi elfu themanini ambayo kama ilivyo kuwa siku zote alitaka niilipe kupitia simu yake. Lakini Mimi nilimwambia Nina wachukua watoto waje Dar ili niwe nao kwa ukaribu zaidi. Akasema sawa atashughulikia suala la uhamisho. Siku iliyo fuata nikampigia sikumpata nikaona nimtume mdogo wangu aende kuchukua namba za mwalimu mkuu wa shule.
Nilipo ongea na mwalimu mkuu wa shule cha kushangaza akasema huyo madam sio mwalimu wa hapo kwa zaidi ya miezi miwili na kwamba amewaliza wazazi wengi ambao walikuwa wanampa pesa yeye. Nikauliza sasa kuhusu haki za watoto wangu vipi kwa sababu ninataka kuwahamisha ma huyo mwalimu alikuwa mwajiriwa wao wanatusaidia vipi sisi wazazi tulio muamini na kumlipa pesa zetu?
Pili nikamwambia atazame kama watoto wamesajiliwa kwa sababu nilimpa shilingi laki moja na elfu sitini kama gharama za usajili kwa kila mtoto.
Niliogopa sana nilihisi huenda hata hiyo shule yenyewe haina usajili.
Mkuu akasema wacha atazame kuhusu status ya wanafunzi hao pamoja na rekodi zao za ada.
Kuhusu status ya usajili akasema watoto wote wana prem numbers ingawa gharama za kuwasajili pia nilipigwa.
Kuhusu ada nikaambiwa nadaiwa shilingi milioni moja na laki 2 kwa sababu tangu watoto waanze kusoma kwenye shule hiyo hawajawahi lipa hata senti tano.
Nikajiuliza how comes mnasema watoto hawajawahi lipa hata senfi wakati hadi matokeo ya watoto yapo nyumbani.
Walifanya vipi mitihani bila kulipa hata senti 5?
Walipata vipi prem numbers kama hawajawahi kulipa hata senti tano?
Nilifadhaika sana na nilianza kukosa imani na hiyo shule kabisa.
Niliwaagiza watoto wangu Dar then nika watafutia shule ya kawaida ya kiswahili. Nili ichagua shule hii kwa sababu ipo karibu na mahali ninapo ishi lakini pili sina uwezo wa kulipa kwenye shule za English Medium kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha na uwezo wangu kifedha kushuka na sapoti ya baba watoto imekuwa ndogo.
Kingine nilikosa kabisa imani na shule za English Mediums hasa hizi zinazo Anza Anza zenye wanafunzi wachache. Bado nilikuwa na kidonda kibichi kutoka kwa shule hiyo waliyo soma watoto wangu.
Nilipata nafasi kwenye shule ya kiswahili huku nikipambana kuomba shule waliyo kuwa wanasoma wawahamishe wanangu kwenye mfumo wawatoe kwenye shule yao wawahamishie kwenye shule hii mpya. Lakini cha ajabu muda wote wamekuwa wakinipiga danadana wanadai niwalipe pesa ambayo kiufupi hawanidai.
Sasa hivi darasa la nne wapo kwenye usajili wa mitihani ya taifa huyu mwanangu jina lake bado linasoma kwenye shule aliyo toka.
Walimu wanasema asipo hamishwa ndani ya deadline maana yake ni kwamba atatakiwa kwenda kufanya mtihani kwenye shule ile ile ambayo ni ya kiingereza au atatakiwa kurudia shule na kama akirudia basi prem number yake itaendelea kusoma juu yani itaonekana yupo darasa la 5 wakati yupo darasa la 4 yani kiufupi ndoto za mwanangu kitaaluma ndio zinakuwa zimeishia hapo. Sasa Mimi naomba msaada wa mamlaka zinazo husika zinisaidie ili mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la 4 ambayo inataka kupokwa na wamiliki wa shule aliyo toka bila justification yoyote. Sheria na taratibu za elimu ya Tanzania zina kataza mtoto kunyimwa haki ya kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile inayo husiana na fedha. Uongozi wa hiyo shule ya English Medium unataka kuvunja sheria hii kwa kumkosesha mwanangu haki yake ya kufanya mitihani ya darasa la nne kwa sababu ya deni hewa. Mtoto wangu ameshinda analia siku nzima ya leo anauliza sasa mama itakuwaje..
Naomba msaada tafadhali. Namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua ada zipo namba za mkurugenzi wa shule zipo namba za mkuu wa shule zipo na risiti zote ambazo zilikuwa zinaandikwa kwamba mwanangu amelipa ada pia zipo kwa bibi wa watoto. Nipo tayari kuziwasilisha risiti hizo mbele ya uongozi wa shule kama zikihitajika ila kwa sasa ninacho hitaji ni mtoto wangu apewe haki yake ya kufanya mtihani wake wa darasa la nne.
Uwepo wa namba za huyo mwalimu alie kuwa anachukua hela zangu pamoja na as wazazi wengine utarahisisha kukamatwa kwa huyo mwalimu ili alipe hizo pesa alizo Chukua. Niliwaambia uongozi wa shule wanisaidie huyo mwalimu akamatwe lakini wamekuwa wanapiga danadana kana kwamba wana mkingia kifua au wana ogopa kuchafua taswira ya shule yao.
Naomba msaada pia huyu madamu akamatwealipe hizo hela alizo Kula lakini wakati zoezi la kumtafuta na kumuweka ndani huyu madamu linaendelea naomba watoto wangu wapewe haki yao ya uhamisho.
Serikali waki hitaji ni disclose taarifa za hiyo shule pamoja na majina ya huyo madam wanae sema amekimbia na hela pamoja na majina ya uongozi nipo tayari kufanya hivyo.
Yericko Nyerere
Mh.
Dkt. Gwajima D
Hela ni MunguHela ni shetani
[emoji28]Tatizo la msingi hapa ni usingo maza. Angekuwa na mwanaume wa kumuongoza asingefanya jambo la kitoto kama hilo la kumuamini mtu kiajabuajabu. Atafute mume kwanza.
Likud tafuta pesa wapeleke watoto shule bora na ukiweza wapeleke vyuo bora Duniani acha kutetea Ujinga Ujinga...Msiwe mnapeleka watoto wenu kwenye shule hizo za English Mediums ni ubabaishaji mtupu
,[emoji28]"Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao."
Ni kweli single mom wakuonea huruma sana kuna mapito wanapitia mazito sana ila unashindwa kumjua yupi mkweli yupi muongo,wanahitaji uangalizi mkubwa.Hatujapishana sana inabidi nikuone Ili niwe nakuongoza , wanawake bila wanaume hamuwezi , sema mnajitutumua tu lakini bado mtabaki kuwa wadhaifu .
Wanasema hawatambui risiti hizo kwa sababu zimetoka kwa huyo mwalimu. Wanataka nilipe milioni moja na laki 2 ndio wamtoe mwanangu kwenye system wamuhamishie kwenye hii shule yake mpyaSasa kama vielelezo vyote vinavyoonyesha kwamba ulikuwa ukilipa ada umeviwakilisha kwenye uongozi wa shule? Na kama umeviwakilisha wamekupa majibu Gani?
Ni shule mpya ndogo sio shule kubwa yani ni kama.hizi day care Centers ila ilikuwa na darasa la kwanza na la pili pia. Ilikuwa na wanafunzi wachache sana...ilikuwa sahihi kwa sababu watoto walikuwa wanaenda shule.Ambacho Nina wasiwasi nacho ni kama shule haijasiliwa kwamba walikuwa wanategemea wakipata watoto wengi ukifika mwaka wa mtihani wawapeleke kufanya mtihani kwenye shule nyingine.Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.
Wanasema hawatambui risiti hizo kwa sababu zimetoka kwa huyo mwalimu. Wanataka nilipe milioni moja na laki 2 ndio wamtoe mwanangu kwenye system wamuhamishie kwenye hii shule yake mpya