Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.
 
Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.
Mleta mada kayavaga,
Afanye utaratibu wa kulipa ada tu
 
Viambata gani wakati yeye alikuwa anampa mtu hela 😂😂
"Nikiwa naendelea na utaratibu huo huo wa kulipa kupitia kwa huyo mwalimu ambae alikuwa anawaandikia watoto risiti wanaziwasilisha kwa bibi yao. Wakati mwingine anasema alikuwa anawaandikia maelezo ya kawaida kwamba wamelipa ada na kwamba ataziwasilisha hela kwa uongozi kisha atapewa risiti na shule atawapatia watoto wazipeleke kwa bibi yao."
 
Yaani maelezo yote haya unayoelezea malalamiko kibao na bado umeshidwa ata kutaja jina la hiyo shule (English medium) ambayo wamekataa kuwahamisha wanao!!! Sasa unaomba msaada upi wakati unashiriki kumficha mtuhumiwa wako? Mie naona hii ni story kama story nyingine tu ila story hii imekosa mtu wa kuihariri!
 
,[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama vielelezo vyote vinavyoonyesha kwamba ulikuwa ukilipa ada umeviwakilisha kwenye uongozi wa shule? Na kama umeviwakilisha wamekupa majibu Gani?
Wanasema hawatambui risiti hizo kwa sababu zimetoka kwa huyo mwalimu. Wanataka nilipe milioni moja na laki 2 ndio wamtoe mwanangu kwenye system wamuhamishie kwenye hii shule yake mpya
 
Mtu inawezekana vipi kumpa Mwalimu kibinafsi ada wakati Kuna ofisi ya shule na Kuna mkuu wa shule? Kweli Hela ilivyo ngumu unalipa pesa ya ada kupitia simu ya Mwalimu? Hii ni hatari sana.
Ni shule mpya ndogo sio shule kubwa yani ni kama.hizi day care Centers ila ilikuwa na darasa la kwanza na la pili pia. Ilikuwa na wanafunzi wachache sana...ilikuwa sahihi kwa sababu watoto walikuwa wanaenda shule.Ambacho Nina wasiwasi nacho ni kama shule haijasiliwa kwamba walikuwa wanategemea wakipata watoto wengi ukifika mwaka wa mtihani wawapeleke kufanya mtihani kwenye shule nyingine.
 
Wanasema hawatambui risiti hizo kwa sababu zimetoka kwa huyo mwalimu. Wanataka nilipe milioni moja na laki 2 ndio wamtoe mwanangu kwenye system wamuhamishie kwenye hii shule yake mpya

Kwanza, kumsaidia mwanao huyo wa std IV, lipa hiyo pesa kwanza kupitia taratibu sahihi...

Pili, peleka mashataka jeshi la polisi na mtuhumiwa awe ni huyo mwalimu mwanamama aliyekuwa anakulaghai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…