Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kama vipi Mleta mada sema usaidiwe binti yako asome otherwise mtafutie mchumba/mume msaidiane kumsomesha binti yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hata akipokelewa kupata ushirikiano na walimu inakuwa si rahisi, angeficha kdg jina la shule hapa.Pole Sana, wahusika wapo humu, hope suala lako litashughulikiwa, sema umekosea kutaja mkoa uliotoka coz ni rahisi kwa walimu kumtambua mwanao. Na kuanza kumletea chuki.
Na ada ilishafutwa, ni michango vifaa tu, je ingekuwa na ada unalipa? Shida watu wamezoea elimu Bure kutoa hata michango hawataki, unakuta shule za primary, secondary wanakuwa wagumu kulipa hata Hela ya chakula Cha watoto wao.Elimu ya TZ ni rahisi sana, yani unaambiwa fagio tu nalo hutaki kupeleka unalalamika.Tuache ujinga
Sikusoma zamani, sasa hivi shule nyingi zina maktaba, japo sio zote... tembelea shule kama Moshi tech, Lyamungo, Ilboru,, Mzumbe, utaonaItakua umri umeenda sana mkuu kipindi iko shule zenu zina maktaba,eti usome vitabu vya shule kipindi hiki,by the way hongera kwa kwenda shule mkuu
Mmmmhhh,nacheka Kama mazuri!!!Ushauri bure kabisa,Sasa afisa elimu ndio atampa ndoo ya kuogea na kufulia mtoto,?afisa elimu ndio anataka watoto wakae maeneo machafu bila kufagia?anunue tu mfagio na ndoo ampe mtoto
Hivi tangazo kuhusu kutowakataa wanafunzi hamkuliona eeee??Kwani akiandika magazeti ndio itakuwa nini?
Hahaha,nacheka Kama mazuriMzazi awajibike bana... Kama ameweza kulipia Bundle vifaa vya mwanae vitamshinda
Si muhimu but kiuswahili shule ikionyesha hamna umuhimu wa vitabu hamna mzazi atakaenunua thus y wanakomalia na kila kile ambacho mtoto atakua anakitumia akiwa shuleSikusoma zamani, sasa hivi shule nyingi zina maktaba, japo sio zote... tembelea shule kama Moshi tech, Lyamungo, Ilboru,, Mzumbe, utaona
Point hapa sio shule kuwa au kutokuwa na maktaba, pointi ni vitabu sio kitu cha lazima wakati wa kuripoti shule
Zaidi ya 60% ya wanafunzi hawana vitabu wanapoende shule, huwa wanategemea notisi na pamphlet za kutoa photocopy, kama hujasoma huwezi kuelewa hiliSi muhimu but kiuswahili shule ikionyesha hamna umuhimu wa vitabu hamna mzazi atakaenunua thus y wanakomalia na kila kile ambacho mtoto atakua anakitumia akiwa shule
Seems wewe ndie wale huko mtaani kwenu na kwenye familia yenu ndio msomi 😀 then choka mbayaZaidi ya 60% ya wanafunzi hawana vitabu wanapoende shule, huwa wanategemea notisi na pamphlet za kutoa photocopy, kama hujasoma huwezi kuelewa hili
Mkuu..Wewe ungemtumia namba bila haja ya kumuuliza ni msaada tosha.Ukotayari kuongea na waziri mojakwamoja ,nikutumie namba yake
Acha siasa,lipia hiyo michango.Habari Watanzania,
Nawasalimu kwa jina la muungano..
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.
Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara
Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.
Naomba kuwasilisha
🤝
Ndio wasibebe ndoo wataogea Nini Sasa?😁Hivi tangazo kuhusu kutowakataa wanafunzi hamkuliona eeee??
Umeanza kuhama mada baada ya kushindwa hojaSeems wewe ndie wale huko mtaani kwenu na kwenye familia yenu ndio msomi 😀 then choka mbaya
Sawa tajiri 😀Umeanza kuhama mada baada ya kushindwa hoja
Kama ni utajiri ninao wa kuishi vizuri, ila hili sio lengo la thread
Uoga wako mbaya na kumanisha uliyoandika ni ya watu nyie msiofahamu kusoma na kuelewa pia..Sasa wewe ukitetewa huoni na Wazazi wengine watapuuzia suala la kukamilisha ada wakitegemea kutetewa? Shule itaendeshwaje?
Kwanini hukuomba ukamilishe ada na kununua vifaa ndio uende?
Hukuwa na mawasiliano ya Mkuu wa shule na makamu wake?
Kwamba Walimu wamemind sio😂😂😂Aisee naona comments za walimu walivyocharuka😅😅
Kupita maelezoKwamba Walimu wamemind sio😂😂😂