DOKEZO Shule ya Kibaigwa Girls imekataa kumpokea Mtoto wangu sababu sijamaliza Hela za Michango

DOKEZO Shule ya Kibaigwa Girls imekataa kumpokea Mtoto wangu sababu sijamaliza Hela za Michango

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama vipi Mleta mada sema usaidiwe binti yako asome otherwise mtafutie mchumba/mume msaidiane kumsomesha binti yako.
 
Pole Sana, wahusika wapo humu, hope suala lako litashughulikiwa, sema umekosea kutaja mkoa uliotoka coz ni rahisi kwa walimu kumtambua mwanao. Na kuanza kumletea chuki.
Na hata akipokelewa kupata ushirikiano na walimu inakuwa si rahisi, angeficha kdg jina la shule hapa.
 
Elimu ya TZ ni rahisi sana, yani unaambiwa fagio tu nalo hutaki kupeleka unalalamika.Tuache ujinga
Na ada ilishafutwa, ni michango vifaa tu, je ingekuwa na ada unalipa? Shida watu wamezoea elimu Bure kutoa hata michango hawataki, unakuta shule za primary, secondary wanakuwa wagumu kulipa hata Hela ya chakula Cha watoto wao.
 
Itakua umri umeenda sana mkuu kipindi iko shule zenu zina maktaba,eti usome vitabu vya shule kipindi hiki,by the way hongera kwa kwenda shule mkuu
Sikusoma zamani, sasa hivi shule nyingi zina maktaba, japo sio zote... tembelea shule kama Moshi tech, Lyamungo, Ilboru,, Mzumbe, utaona
Point hapa sio shule kuwa au kutokuwa na maktaba, pointi ni vitabu sio kitu cha lazima wakati wa kuripoti shule
 
Ushauri bure kabisa,Sasa afisa elimu ndio atampa ndoo ya kuogea na kufulia mtoto,?afisa elimu ndio anataka watoto wakae maeneo machafu bila kufagia?anunue tu mfagio na ndoo ampe mtoto
Mmmmhhh,nacheka Kama mazuri!!!
 
Mkuu we kopa pesa, sort out this issue, binti aende shule, nchi hii inawajinga wengi kila sekta, hawana busara, wangeweza kutumia busara tu, wanakupa muda, unalipa, tatizo nchi hii kila mtu ameota mapembe.
 
Sikusoma zamani, sasa hivi shule nyingi zina maktaba, japo sio zote... tembelea shule kama Moshi tech, Lyamungo, Ilboru,, Mzumbe, utaona
Point hapa sio shule kuwa au kutokuwa na maktaba, pointi ni vitabu sio kitu cha lazima wakati wa kuripoti shule
Si muhimu but kiuswahili shule ikionyesha hamna umuhimu wa vitabu hamna mzazi atakaenunua thus y wanakomalia na kila kile ambacho mtoto atakua anakitumia akiwa shule
 
Si muhimu but kiuswahili shule ikionyesha hamna umuhimu wa vitabu hamna mzazi atakaenunua thus y wanakomalia na kila kile ambacho mtoto atakua anakitumia akiwa shule
Zaidi ya 60% ya wanafunzi hawana vitabu wanapoende shule, huwa wanategemea notisi na pamphlet za kutoa photocopy, kama hujasoma huwezi kuelewa hili
 
Zaidi ya 60% ya wanafunzi hawana vitabu wanapoende shule, huwa wanategemea notisi na pamphlet za kutoa photocopy, kama hujasoma huwezi kuelewa hili
Seems wewe ndie wale huko mtaani kwenu na kwenye familia yenu ndio msomi 😀 then choka mbaya
 
Habari Watanzania,

Nawasalimu kwa jina la muungano..

Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano Walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kukataa kumpokea Mtoto ikiwa tu hajamaliza michango na vifaa vingine kama vile vya usafi ukiangalia umbali uliotoka na Mtoto ni mbali sana.

Mfano mimi mwanangu kapangiwa Kibaigwa Girls iliyopo Dodoma, Mwalimu mkuu na makamo Mkuu wa shule wamenigomea kumpokea Mtoto kisa nimelipia nusu ya pesa za michango na sijakamilisha vifaa vya usafi ukizingatia nimetokea mkoa wa Mtwara

Sijui cha kufanya, naomba waziri husika kufuatilia hili jambo, wazazi tunashindwa kuwapeleka shule mapema watoto kutokana na hizi changamoti.

Naomba kuwasilisha

🤝
Acha siasa,lipia hiyo michango.
Kulalamika kwako hakuna msaada,elimu gharama.
 
Sasa wewe ukitetewa huoni na Wazazi wengine watapuuzia suala la kukamilisha ada wakitegemea kutetewa? Shule itaendeshwaje?

Kwanini hukuomba ukamilishe ada na kununua vifaa ndio uende?

Hukuwa na mawasiliano ya Mkuu wa shule na makamu wake?
Uoga wako mbaya na kumanisha uliyoandika ni ya watu nyie msiofahamu kusoma na kuelewa pia..

Unasikitisha..

A ha kufundisha watu uwoga.. ndio nyie mnapiga kelele za watu kuwa huru kwenye mengine ya watoto mnaleta uwoga na kutosha wengine

Amefanya vyema kuandika aliyoandika... msaada kwa wengi.
 
Back
Top Bottom