Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

IGP Sirro na Ndalichako watupe majibu
 
Shuke za kiislam zimekuaje na zenyewe ???
 
Wamiliki wa hizi shule ni BAKWATA, mie nadhani ni ajali za kawaida fire kutofika eneo la tukio kwa wakati kibongo bongo ni la kawaida sana.

Early 2017 hapa Kariakoo kuna nyumba iliungua yani kutoka ilipotokea ajali hadi pale fire ni kiasi cha dk7 mtu ukikimbia ni dk 4,hamna 2 kilometers but nyumba iliungua ikaisha wanakuja wanakuta ndo paa la nyumba linadondoka.hii mamlaka miaka yote huwa haijifunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAKWATA Wana Majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…