Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

Wanafunzi inasemekana bado wako nyumbani kwa mufti ufipa wajue hatma yao watapelekwa wapi

Mrangi from gairo

Ova
Udenda unakutoka hapo ulipo huna lolote. unajifanya unawaonea huruma hao wanafunzi.
 
Naskia Mtambani kinondoni napo moto ulitokea
Ila watu mule ndani waliwahi kuudhibiti kabla hata ya fire kuja, Aise pongezi kwao

Mrangi from gairo

Ova
 
Back
Top Bottom