Shule ya Kinondoni Muslim inawaka moto Kinondoni

Hahahahahaha. Ni sawa unaenda kituo cha mwendokasi na kusahau barakoa
 
Watu wa kupokea lawama kubwa ni wamiliki wa shule kutokua na nia ya dhati ya Progressive maintanance. Kinondoni shule kama ilifanyika wiring mwaka 82 halafu hakuna kurudiwa na kuwekwa vifaa vipya vyenye bei ghali vya umeme haya lazima tuyategemee.

Wire peke yake zinaweza liwa na panya zikabaki bila cover, lazima tuzingatie maintanance na repair na kwenye hili waswahili wengi tunafeli. Tembelea Machinga complex halafu angalia hali yake ya wiring ndio utajua.
 
Shule ya sekondari ya Kinondoni muslims imeteketea kwa moto lakini hakuna mtu yoyote aliyeathirika.
Taarifa hii imetolewa na sheikh wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salumu.

Source EATV!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wanafanya makusudi hao.
 
Shule ya sekondari ya Kinondoni muslims imeteketea kwa moto lakini hakuna mtu yoyote aliyeathirika.
Taarifa hii imetolewa na sheikh wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salumu.

Source EATV!

Maendeleo hayana vyama!
Wanafunzi inasemekana bado wako nyumbani kwa mufti ufipa wajue hatma yao watapelekwa wapi

Mrangi from gairo

Ova
 
Shule ya sekondari ya Kinondoni muslims imeteketea kwa moto lakini hakuna mtu yoyote aliyeathirika.
Taarifa hii imetolewa na sheikh wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salumu.

Source EATV!

Maendeleo hayana vyama!

Nini maana ya ‘kuathirika’ bwashee.?
 
Ilala Islamic. Leo ni Kinondoni Muslim.Yote hii ni ndani ya mwezi mmoja. Kuna Temeke Islamic??...najaribu kuchora pattern
 
shule ya pili ya waislam inaungua kuna kitu
 
17 Julai 2020
Dar es Salaam, Tanzania

SHEIKH MKUU MKOA AZUNGUMZA BAADA YA KUUNGUA KWA SHULE "TUNAMPA POLE MUFTI, CHANZO HAKIJAFAHAMIKA"

Tukio la ajali ya moto Kinondoni Muslim secondary School wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam

Source : millard ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…