Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

tukiita shule ya uongozi huoni tutakuwa tuna muenzi H. Polepole maana alishaanzisha shule ya uongozi on line. au amekuomba umwakilishie wazo.
nyerere ni icon ya Afrika na hata duniani alitambulika kama kiongozi bora kwa wakati wake na hata sasa hakuna alie wewza kuvaa viatu vyake tz kwa mantiki hiyo acha apewe sifa zake.
cha kusisitiza hapa ni elimu na mafunzo na wakufunzi na wana zuoni wawe na element za nyerere hasa kwenye uadilifu.
tukiwa tuna waita watu kama Pro Lumumba from kenya aje kukata kipindi siku moja next time anaenda Jeneral Ulimwengu tunakuja na profesa Issa Shivya n.k italeta maana kidogo ya hilo jina.
 
Kigoda cha Mwalimu nyerere kinatosha kutumia jina lake!
Hii SHULE ibaki na jina lake halisi
 
Nyerere ni market duniani kote.
 
Huyo unayemtaja rais wako juzi katembelea kaburi la Nyerere.
 
Mkuu kama ulivyojitambulisha kuwa nawe ni miongoni wa mliokuwa karibu na Mh. Rais ni jukumu lenu kumshauri Mh. juu ya hoja yako.
 
Harvard University kwa upande wa Public Administration inaitwa JF Kennedy School of Government.

JKN kuna mengi kafanya nchi na kusini kwa jangwa la sahara.View attachment 2125371
 
Sasa matusi ya nn! Mambo ya chama huhudhuliwa na mwenyekiti! Mambo ya kitaifa Ndipo Kofia ya URAIS hutumika!

Huwezi muita RAIS kwenda kuzindua tawi la BAVICHA, AU UVCCM
Huwezi kumtambulisha Kama Mwenyekiti wa CCM tu wakati juu yake kuna Cheo cha Urais. Havitenganishiki.
Hata huyu Mama akiwa ni Shangazi yako, hawezi kuja kukutembelea Eti kama Shangazi tu na Urais auache Ikulu. Lazima atakuja tu na Urais wake mpaka ndani mwako.
 
Harvard University kwa upande wa Public Administration inaitwa JF Kennedy School of Government.

JKN kuna mengi kaifanya nchi hii na kusini mwa jangwa la sahara.View attachment 2125372View attachment 2125371
 
Pole pole atapata nafasi ya kufundisha Shule ya Uongozi??
 
Naomba tuliokaribu na Rais Samia hususani Usalama kitengo cha siasa na propaganda Tumuombe Rais apendekeze hilo jina litumike siku ya uzinduzi 23 Feb pale KIBAHA
1. Tuliokaribu na Rais Samia hatutamwambia chochote kuhusu pendekezo lako.
2. Jina la chuo halitabadilishwa.
Tukuone sasa utafanyaje, ukiumia sana nenda kajinyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…