Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

Samia akithubutu kufanya hlo hapo wale wala kiti barid lazma wamparure
 
Kinachokuuma ni mzazi wako au wewe kutokuwa na vigezo vya kuwekwa hapo siyo? Kwani ikiitwa mwalimu Nyererw inaathiri masomo kwa namna ipi?
 
Ila kweli kama kila sehemu itaitwa nyerere, itatuchanganya sana,,, [emoji23] watu mashuhuri wako wengi sana , kuna Nape, mbowe, makwaia, Rumanyika, etc
Hahah
 
Mungu awasamehe watanzania. Hii nchi inabidi tuingie kwenye maombi maalum ya kuomba toba na msamaha.
 
Kama ni jina basi MAGUFULI NDIYO JINA SAHIHI KWA HIYO SHULE KUITWA , ni kiongozi bora kuwai kutokea duniani
 
Hapo hakuna tofauti kati ya nyayo na nyaya kwa sababu obviously neno letu limetoka India au neno like la India limetoka hapa.
Asante kwa kujali.
Nadhani jielekeze vizuri. Nyayo linatumika Kenya kumaanisha fuata nyayo... (alama za miguu) follow in the footsteps! Harambeee... Nyayo!
Matumizi ya Nyãyã kwa wahindi nadhani asili yake si hizo nyayo zako au zangu!
 
Ukiwa na akili za anti-ccm hakika hutopata udahili pale.
 
Kuishiwa ubunifu ni moja ya shida zetu, yaani kila kitu kiitwe Nyerere, Barabara yeye, noti/sarafu yeye, tumekuwa watumwa wa kimapokeo....je, ni Nyerere pekee aliyehodhi naming rights za nchi hii?
 
Kuishiwa ubunifu ni moja ya shida zetu, yaani kila kitu kiitwe Nyerere, Barabara yeye, noti/sarafu yeye, tumekuwa watumwa wa kimapokeo....je, ni Nyerere pekee aliyehodhi naming rights za nchi hii?
Nakuelewa sana mkuu
 
Nimekikumbuka chama cha UNIP cha Zambia cha kina Keneth Kaunda. Hakipo kwa kuwa kilikubali kushindwa kwenye uchaguzi.
Kingekuwa bado kinatawala kingekuwa sehemu ya shughuli hiyo kwani nacho kilikuwa chama cha ukombozi.
 
Hicho Ni chuo Cha CCM. Siyo chuo Cha serikali.

Naona hujaelewa hicho kitu.

Kwahiyo kwa CCM kulipa Hilo jina chama Chao, hakuna tatizo lolote.

Maana huwezi kumtenganisha Nyerere na CCM.

Hicho sio Chuo cha ccm. CCM [ Mzee Mangulla alipopewa jukumu la kuandika historia ya SOUTHERN AFRICAN LIBERATION STUGGLE sijui kama imekwisha!] ndio wakajumuishwa na vyama vingine vya ukombozi FRELIMO, ANC, SWAPO, ZANU, sina hakika na MPLA kujenga Chuo cha kumuenzi hayati Mwalimu Nyrere kama kumbukumbu ya mchngo wake kukomboa nchi za kusini mwa Africa!! Hivyo basi hiki Chuo ni cha vyama vote vilivyochangia na ccm Ikawa ndio mwenyeji wao.
 
Kama hakuwa Malaika inakuuma nini?
 
Shule ya Uongozi ipo moja tu, inaendeshwa na komredi Humphrey Polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…