A
Mungu akubariki Kiongozi, Nilisha wahi kuisha Maeneo hayo ... Tatizo lipatiwe Ufumbuzi kwakwel Ni changamoto kwa Vijana wetu.Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.
Boresheni maslahi yao muone kama hawatashinda shuleni.Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.
Wanazurura bila kazi maalum?Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni unawakuta mitaani tu ama wengine wanadai wanaenda kusoma lakini unawaona mitaani wanazurura.