Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sio kila kata, kila mtaa . Ikiwezekana shule zote za zamani ambazo ziko kama vilabu vya gongo zivunjwe zijengwe za muundo huu.ndio maana nikashauri kila kata zijengwe ili wa Tanzania wote waenjoy kodi zao .
maana ni ubaguzi wa sehemu fulani wawe na shule nzuri na sehemu zingine wasiwe nazo na huku wote wanalipishwa kodi na TRA
VXR 1 ni milioni mia 5. Service kwa mwaka milioni 20-50. Hiyo VXR ambazo ziko nyingi serikalini.
Viongozi ni wakatili