Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

ndio maana nikashauri kila kata zijengwe ili wa Tanzania wote waenjoy kodi zao .

maana ni ubaguzi wa sehemu fulani wawe na shule nzuri na sehemu zingine wasiwe nazo na huku wote wanalipishwa kodi na TRA
Sio kila kata, kila mtaa . Ikiwezekana shule zote za zamani ambazo ziko kama vilabu vya gongo zivunjwe zijengwe za muundo huu.
VXR 1 ni milioni mia 5. Service kwa mwaka milioni 20-50. Hiyo VXR ambazo ziko nyingi serikalini.
Viongozi ni wakatili
 
Kila mtaa ni ngumu. Maana hizi shule za english medium. Zinalipiwa ada laki tatu kwa mwaka.

Sio kila m Tanzania anaweza kulipa laki 3 hiyo.

Hivyo asieweza lazima awekewe kayumba za elimu bureee
 
Kila mtaa ni ngumu. Maana hizi shule za english medium. Zinalipiwa ada laki tatu kwa mwaka.

Sio kila m Tanzania anaweza kulipa laki 3 hiyo.

Hivyo asieweza lazima awekewe kayumba za elimu bureee
Watanzania wote wanaweza kulipa laki 3 . Watakaoshindwa walipiwe na serikali.
Ndege Moja inatosha kulipia laki tatu watoto wote ambao wazazi wao wameshindwa kulipa hizo laki 3
 
Hii kaya ina vituko, kwahiyo lugha ya kufundishia shule ya msingi ikibadilika, elimu inakua ada sio bure tena kama kwenye kiswahili

Nb: wazibadili tuu msingi zote ziwe kingereza ili ieleweke sera ni ipi
 
Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza.

Shule ni nzuri kwa miundombinu yote.

Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni mbili ama milioni tatu kwa mwaka hazifikii ubora wa miundombinu iliyopo kwenye Shule ya Serikali ya Mikongeni

Ushauri wangu shule zenye ubora kama huu ama standard kama hii zinapaswa kujengwa kwenye kila Kata ili watoto wote wa-enjoy kodi za wazazi wao kwa kusoma shule nzuri za Serikali

View attachment 2939117
Naona kuna nyingine pale Ilala boma imeshajengwa nafikiri bado kufunguliwa tu,ila kutakuwa na matabaka sana madarsa ya zamani wasome wa kidumu na mfagio na hii mpya wasome wale kulipia ada
 
Naona kuna nyingine pale Ilala boma imeshajengwa nafikiri bado kufunguliwa tu,ila kutakuwa na matabaka sana madarsa ya zamani wasome wa kidumu na mfagio na hii mpya wasome wale kulipia ada

Hata Muhimbili kuna matibabu ya VIP na kuna matibabu ya walala hoi.

Hata kwenye kulazwa vyumba havifanani
 
Back
Top Bottom