Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

BURUTA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
631
Reaction score
809
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.

Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.

Je, hii si shule ya Serikali, au?
 
We umewahi kuona shule ngapi za serikali mtoto ili aanze la kwanza anafanya interview. Na hata akifaulu anaweza kukosa nafasi kwakua wazazi wengine hua wanahonga mpaka laki 3 ili watoto wao wapate nafasi hizo shule?

Miongoni mwa shule ambazo wazazi huhonga ili watoto wapate nafasi ni hii Olympio.

Kisha unashangaa mtoto kurudishwa kisa ada? Blood tupeleke watoto wetu tunapoweza kuafford. Shule ya Msingi Kizinga.
 
Back
Top Bottom