Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.
Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.
Je hii si shule ya Serikali, au?
Lipa ada wewe acha kulia lia JF...
Huna ada halafu unataka umpeleke mtoto Olympio??