Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Kwani utaratibu ukoje.miaka mingine wanasomaga bure au huwa wanalipa? Wazazi tuwe tunafikiri vizuri.ukitaka shule za bila malipo mbona zipo.nyie mlienda kutafuta nini huko? Hizo shule zilijengwa kwa ajili ya foregners wasiojua kiswahili.Ndiyo maana wanalipia.

Mzazi wa mtoto yupo hivi
Huyo mtoto sijui itakuwaje [emoji28][emoji28]

Waalimu wana tabu
 
Hivi kwanini serikali isianzishe shule kama hizi angalau moja kwa kila halmashauri?
Wale walimu wenye Bachelor wanaowapeleka kufundisha st kayumba wangewapeleka huku.
 
Sukuma gang kaumbuka alitaka watu waseme wakati wa Magufuli hiyo ada haikuwepo lakini katolewa nishai.
 
Sema mikondo ila its not practical darasa moja wakae watoto 500, mkondo waweza kuwa A mpaka G labda!

Sema ukiona shule inagombewa hivyo ujue iko njema.Hata bunge primary pazuri sema sijajua ada zake
Bunge hakuna ada ila kupata nafasi yake andaa kama 100-200k.
 
We umewahi kuona shule ngapi za serikali mtoto ili aanze la kwanza anafanya interview. Na hata akifaulu anaweza kukosa nafasi kwakua wazazi wengine hua wanahonga mpaka laki 3 ili watoto wao wapate nafasi hizo shule?

Miongoni mwa shule ambazo wazazi huhonga ili watoto wapate nafasi ni hii Olympio.

Kisha unashangaa mtoto kurudishwa kisa ada? Blood tupeleke watoto wetu tunapoweza kuafford. Shule ya Msingi Kizinga.
Kuhonga sio laki 3 ni laki 6
 
Back
Top Bottom