Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Olympio English medium wana gharama za ziada kama shule zingine za serikali zilizo kwenye mfumo huo
Olympio sio shule ya serikali na hakuna shule ya serikali ya English medium.
Acha upotoshaji.
 
Olympio sio shule ya serikali na hakuna shule ya serikali ya English medium.
Acha upotoshaji.

Yoda Kabla ya kuniamuru kuacha upotoshaji, Nithibitishie haya maneno yako kwamba
1.Olympio sio shule ya serikali na
2.Hakuna shule ya serikali ya English medium.

Vinginevyo nitaendelea kukuweka kwenye kundi la wapumbavu sababu ndiko unakostahili wewe!
Kila siku huwa huwa nakushauri usiwe unaongea mambo usiyojua maana yanakufedhesha, yanakutia aibu, yanakufanya uonekane mmbeya na mjawa majungu, yanakuweka kwenye kundi la watu wasiojielewa..... Ona sasa unavyokurupuka na kuropoka aibu

Ungekua mjinga ungekua unaelimika, ila wewe una kipaji hiki cha alichosema baba wa taifa

Rasmi kabisa nimeacha kusoma posts zako🤗🤗🤗
 
Shule ni mfumo ni zaidi ya kusoma na kuandika
Anapokuwa shule kuna mambo mengi anafaidika nayo kuliko mtoto kumfungia nyumbani tu
Poa Mkuu nitamuachia ili hata kujua kuishi na wenzake ni maisha pia.
Sema mie napenda mwanangu primary agonge miaka minne tu yaani ikizidi basi mitano.
Tusadiane mawazo.yaani ni Bora asome fomu three miaka miwili kuliko hizi za kusoma petali na sepali
 
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.

Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.

Je, hii si shule ya Serikali, au?
Serikali ingejenga shule kama hii angalau 2 kila mkoa.
 
waondoe sasa kauli ya elimu bure tena utawasikia viongozi wa serikali wakikaza misuli ya shingo wakijinadi tusisikie mtoto anarudishwa nyumbani kwa sababu ya ada na wala tusisikie watoto wanatozwa ada shule za serikali
Serikali ilipotangaza Elimu Bure walimu walijua watapiga hela Sana
Matokeo yake ikawa ndivyo cvyo sasa wanahaha, Elimu Bure imejenga uhasama kati ya Mwalimu na mzazi mwanafunzi na mwalimu

Kiukweli walimu walipiga Sana hela kipindi Cha Elimu na michango
Kuna kipindi ilifika Mzazi akawa anadaiwa hela ya umeme Hadi unajiuliza Serikali inanisaidia nini sasa au Hawa walimu wabovu wasiyokuwa na kipawa Cha kufundisha ndiwo inaonisaidia kulipa Mshahara

Aisee kama Kuna mwalimu hakujenga kipindi kile Cha Kikwete na Elimu na michango, kalaga Bao
 
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.

Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.

Je, hii si shule ya Serikali, au?
WE WALIPE ADA YAO MANENO MENGI HAYASAIDII KITU,HIYO NI SHULE AMBAYO WAZAZI NA WALIMU WALIKAA NA WAKAAMUA KU UPGRADE BAADHI YA MAMBO KADHAA WA KADHAA,KWA HIYARI.PAY THAT FEE STOP LONGOLONGO.
 
Yoda Kabla ya kuniamuru kuacha upotoshaji, Nithibitishie haya maneno yako kwamba
1.Olympio sio shule ya serikali na
2.Hakuna shule ya serikali ya English medium.

Vinginevyo nitaendelea kukuweka kwenye kundi la wapumbavu sababu ndiko unakostahili wewe!
Kila siku huwa huwa nakushauri usiwe unaongea mambo usiyojua maana yanakufedhesha, yanakutia aibu, yanakufanya uonekane mmbeya na mjawa majungu, yanakuweka kwenye kundi la watu wasiojielewa..... Ona sasa unavyokurupuka na kuropoka aibu

Ungekua mjinga ungekua unaelimika, ila wewe una kipaji hiki cha alichosema baba wa taifa

Rasmi kabisa nimeacha kusoma posts zako[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Leo hii siku ya kufungua shule, Shule ya Olympio Upanga, Dar zaidi ya nusu ya wanafunzi wamerudishwa majumbani kwa kutokwenda na ada.

Wameambiwa lazima waende na angalau laki mbili ndiyo wataruhusiwa kusoma.

Je, hii si shule ya Serikali, au?
 
Mkuu unatakiwa ule kwa urefu wa kamba yako.
Kama unataka elimu bure mpeleke mwanao shule za swahili medium.
 
Back
Top Bottom