Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa.

My take; Jaffo alikuwa anajenga madarasa gani awamu ya 5!
 
Flyover classes
 
Tunawajengea maRais wastaafu migorofa kwanza,wanafunzi waendelee kusubiri budget ijayo.
 
CCM HOYEEEEEE!

MATAGA : HOYEEE!

wapinzani walituchelewesha sana

Au nasema uongo ndugu zangu??

MATAGA : KWEEEERI MITANO TENA
 
Inasemekana Jafo alikuwa anapeleka fedha Halimashauri kwaajili ya utekelezaji wa miradi halafu anakwenda kuzichukua kama payback, hapo zitajengwa shule?
Jiulize lile bwalo la shule ya sekondari kule Mikindani liliishia skeleton kwa Mil 100,
 
Hii nchi ina wapigaji aisee!
 
Tunaomba picha za hiyo shule.
 
Huko hawajawahi kuwa na chama tofauti na hiyo ndiyo raha ya kuwa chini ya CCM.
 
Ni 5 Tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…