Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

Shule ya msingi Ufulaga Kaliua wanafunzi wanasomea madarasa ya nyasi, wananchi waililia CCM

Kuna mazingira ukipita nchi hii,unajiuliza iweje x-president anajengewa hausi, kwanini anapewa zawadi ya gari....kuna maeneo watu hawajawahi kunusa hata keki ya taifa.......
 
As long as tumekombolewa tangu march 17 mwaka huu, naamini kila kitu kitaenda saw a chini ya mama Samia.

Wawe watulivu mama si katili kama mwendazake, atarekebisha hilo suala.
 
Inasemekana Jafo alikuwa anapeleka fedha Halimashauri kwaajili ya utekelezaji wa miradi halafu anakwenda kuzichukua kama payback, hapo zitajengwa shule?
Jiulize lile bwalo la shule ya sekondari kule Mikindani liliishia skeleton kwa Mil 100,

Duh!!!!!
Na alitaka kupiga za miundo mbinu ya mwendokadi na wamku.. mwendazake akawabana.. sasa wamku kafanikiwa.. muhusika wa usafiri kakaa anasubiri bata lipigwe..
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa.

Source: ITV habari

My take; Jaffo alikuwa anajenga madarasa gani awamu ya 5!
ccm hawajawahi kumjali mtanzania
 
eti wanaiomba ccm. stupid wananchi acha waipate fresh.
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa.

Source: ITV habari

My take; Jaffo alikuwa anajenga madarasa gani awamu ya 5!
Kabla ya tarehe17/3/2021 post kama hii ingepostiwa humu na wapunzani nadhani wangeoga matusi yote kwa huyu aliyeipost leo
 
Utajiri wa nini?..upumbavu?

How comes leo 2021 kuna watoto wanasomea kwenye mazizi ya ng'ombe?

Sasa umewandika upupu gani!!!..
Umefanya nini kuupaisha huo utajiri uliopo hapa nchini?..
 
ITV akili imeamza kuwaludia japo wamechelewa na wameshapoteza Imani kwa watazamaji wengi,
Mwalimu anasema ,Shule hiyo ilikuwa inafhadjiliwa na Kapuya lakini kwa Sasa hamuoni.
Je,Kapuya alikuwa anafadhili madarasa so a Nyasi?
 
Back
Top Bottom