DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hii shule mbona ilikuwa nzuri sana.Kwamba imebadilika? Nitasikitika kama imebadilika.
 
Zinatesa wazazi wapumbavu
 
kwanini umpeleke mtoto was grade 4 boarding?
 
Pole sana ndugu Mzazi kwa changamoto aliyo ipata mtoto.
Una haki ya kulalamika.
Nakushauri peleka malalamiko kwa mkurugenzi wa shule kwanza.

Natoa maagizo kwa Wizara ya Elimu kukagua shule zote za Bweni, ukaguzi huo ufanyike hususan kwenye maeneo yafuatayo:-
1. Sehemu za kulala /mabwenini.
2. Vyooni, kama vyoo vinakidhi na vinafaa.
3. Chakula
 
Umeoga matusi mengi pole sana mdau!
 
Kwann mtoto umpeleke boarding mdogo ivyo
 
Kulipa ada kama hiyo ni ukichaa ndo maana wezi wanazidi kuongezeka
 
Mm nadhan tusiwalaumu wazazi wanaopeleka Watoto Boarding wakiwa wadogo.

Pengine ni hiyo ratiba ndio imechangia maamuzi ya hao wazazi.
Ni ratiba ambayo inatuma sana na inakugharimu haswaa. Mwanangu nilimkodia bajaji mwaka mzima alimaliza la saba hapo 2022. Mdogo wake nae alikuwa ndio anaingia la saba 2024 nikamuhamisha lakini si kumpeleka boarding.
 
Pole sana ndugu. Ila na sisi wazazi tumezidi yaani mtoto wa primary unampeleka boarding yaani miezi mitatu hujui mtoto anakula nini anaendeleaje maana hao watoto wanatishwa sana wasiseme mambo ya shule. Najua saivi utakuwa tumejifunza kitu.
Jua hakuna mtu duniani anayeweza kumpenda mtoto wako kuliko wewe.
Kwa sisi tulio Soma boarding school za secondary nikiona mtu anampeleka mtoto mdogo primary boarding naona mzazi ni msaliti wa mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…