DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Dogo korokoro Unapeleka boarding, atadundwa achakae.

Yapo matoto manunda yanayoweza kukabiliana na hali yoyote ndio ya kwenda huko, hayo yaliyoiba mswaki wa mwanao.

Ila mkuu sio salama kwa dogo kama huyo kusoma boarding, na pia angalia na ujanja au uzubavu wa mtoto mwenyewe. Watoto wengine hawajui kujichanganya na wenzao, ni wapole kupindukia, hajui kuongea vizuri wala kujitetea nk, hao wanaonewaga sana shuleni.
 
Apandacho mtu ndicho atakachovuna!

Utakapokuwa mzee, mtoto wako huyo wa grade IV atakupeleka 'boarding' a.k.a. nyumba ya kulelea wazee...maana inawezekana naye atakuwa busy na majukumu.
 
0


Serikali inasimamia shule zake. Ambazo mtoa mada amezikataa kumpeleka mwanae.

Ndio maana huwezi kukuta huo ujinga kwenye shule za serikali
Sidhani kama kuna shule inatakiwa kujiendesha bila taratibu za serikali. Labda hizo international schools
 
Kumbe upo jirani na shule, sasa bweni ya nini?, amka sasa, amepata madhara hayo kidogo, kabla makubwa hayajamfika mtoto.
 
Hivi ni lazima sana mwanao asome katika shule yenye taratibu mbovu kiasi hicho!? Hakuna namna yyt nyingine nzuri zaidi kwa mwanao kusoma katika mazingira salama zaidi?

Pole
 
Grade 4 unamueka boarding, umefeli kama mzazi
 
Na
Na Ada ni mamilioni...Sema mtoto kuumia jicho n kawaida utundu wa watoto.
ILa mtoto wa Std 4 boarding asee hapana
 
Mmmh wazazi wa kidigital msiotaka kuwajibika ktk malezi
Mambo mengne mnayataka wenyewe arf baadae muanze kuisumbua serikali
Kuna ulazima gani wa kumtelekeza mtoto mdogo kiasi hicho ?
Ndio maana sahvi tunakuwa na vijana katiri kuliko maelezo hii yote ni sababu ya kukosa upendo na malezi ya wazazi
 
 
Hili jambo limenikwaza sana maana mwanangu yuko grade 4 na tayari nimeshaskia fununu kuna utaratibu wa shule kulazimisha watoto wakae boarding kipindi cha likizo...najiandaa kupambana nao vikali.
Suluhisho hapa ni waziri wa elimu apige marufuku hii tabia ya kuwalazimisha wanafunzi darasa la nne kukaa boarding.
 
Humu Jf hawawezi kukupa msaada wowote zaidi watakuambia msomeshe mwenyewe mwanao ,humu sikuizi kuna mataila wengi na wanaojifanya wameyapatia maisha ilhali kajambani ni wengi zaidi, na pia asilimia kubwa humu ni walimu so must watetee walimu wenzao,


Pole mkuu inauma sana, chukua Rb na pf3 mpeleke mtoto hospital then kamata mwalimu mkuu na mwenye shule weka ndani,mwanao mpeleke hospital ya serikali na kila nyaraka hifadhi
 
Wazazi wengi malimbukeni kabisa!
 
Mtoto wa La kwanza unataka akae Shule za bweni??? Hivi mzazi unakuwa mwendawazimu au ndo kuchanganyikiwa?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…