msovero
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 863
- 1,534
Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.
Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo wameiomba serikali kuwaongezea walimu kutokana na walimu wawili waliopo kutokidhi kufundisha masomo yote.
Source: ITV
My take: Waziri Ummy harakisha mchakato wa ajira 6000 zilizotangazwa na Rais Samia kutatua tatizo hili ili wanafunzi hawa wapate elimu bora waweze kutimiza malengo na ndoto zao za kielimu.