Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki Chama cha Mazuzu kikifa nchi itaokoka.Ni bora kuwa na walimu 2 kuliko kuwa na walimu 30 wanaofundisha kukata kiuno
Kama.mbunge wao anatukana wasomi sasa wanataka walimu wa nini?Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.
Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo wameiomba serikali kuwaongezea walimu kutokana na walimu wawili waliopo kutokidhi kufundisha masomo yote.
Source: ITV
My take: Waziri Ummy harakisha mchakato wa ajira 6000 zilizotangazwa na Rais Samia kutatua tatizo hili ili wanafunzi hawa wapate elimu bora waweze kutimiza malengo na ndoto zao za kielimu.
Taifa linatiwa ulemavu. Elimu inanyimwa kwa raia actively kabisa.
Graduates wa ualimu wanabetisha na kuchezesha mabonanza kisha unapiga stori na mtu anakuambia shule nzima wapo 7 na hawa ndiyo wapo 2.
Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
👊👊Taifa linatiwa ulemavu. Elimu inanyimwa kwa raia actively kabisa.
Graduates wa ualimu wanabetisha na kuchezesha mabonanza kisha unapiga stori na mtu anakuambia shule nzima wapo 7 na hawa ndiyo wapo 2.
Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
Movement sio tatizo bali tatizo ipo kwenye kuipitisha hiyo hoja maana wa kuipitisha ndio hao hao unaotaka mishahara yao ikatwe, unafikiri watakubali?Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
Shii punguza sauti.utagusa pabaya.