Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ianzishie UZI kabsa.Hamna kitu hawa.Afisa elimu Geita,REO Geita, wote ni hewa.waondolewe tu
Na ndo iko hvyo,na wew mtu wa kawaida kama una malengo mazuri na mwanao usimpeleke hz shule za serikalKuna muda huwa nafikiri kama taifa hatuko siriasi na suala la elimu labda kwakuwa watoto wa wakubwa hawasomi hizi shule ndio maana hamna msukumo wa kutatua haya matatizo yanayozikabili
Ingekuwa shule ya msingi ningesema lolote, ila kwa secondary Msukuma wenyewe kaona elimu ya juu haina maana, bora ya darasa la 7, sasa wanacholalamikia wasukuma ni nini?Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya geita mkoani geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.
Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo wameiomba serikali kuwaongezea walimu kutokana na walimu wawili waliopo kutokidhi kufundisha masomo yote.
Source: ITV
My take: waziri ummy harakisha mchakato wa ajira 6000 zilizotangazwa na Rais Samia kutatua tatizo hili ili wanafunzi hawa wapate elimu bora waweze kutimiza malengo na ndoto zao za kielimu.
Naomba uandike hii habari Kama uzi unaojitegemea.Ni nzr mno.Ni matokeo ya kazi yule aitwae shujaa
Unanunua.midege inayoleta hasara kwa mabilioni huku hutaki kuajiri walimu
Upuuzi mtupu
Kuwaondoa hao maafisa elimu ni kuwaonea tu maana uhaba wa walimu ni tatizo la nchi nzima halipo geita peke yake na yote haya yalisababishwa na marehemu jiwe kujali maendeleo ya vitu kama vile ununuzi wa ndege ambazo hazina faida huku akiacha sekta nyeti na muhimu za afya na elimu zikidorora kwa kukosa raslimali watuAfisa elimu Geita,REO Geita, wote ni hewa.waondolewe tu
Musukuma kajipa kazi ya kukosoa/kufundisha ma profesa kama kina muhogoKwani Musukuma hawezi kufundisha hapo?
Serikali siilisema walimu wameajiriwa kibao imekuwaje tena[emoji1787][emoji1787]Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.
Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo wameiomba serikali kuwaongezea walimu kutokana na walimu wawili waliopo kutokidhi kufundisha masomo yote.
Source: ITV
My take: Waziri Ummy harakisha mchakato wa ajira 6000 zilizotangazwa na Rais Samia kutatua tatizo hili ili wanafunzi hawa wapate elimu bora waweze kutimiza malengo na ndoto zao za kielimu.
Hana elimu ujueNa Msukuma mbunge kasema elimu haina ishu
Msukuma ndo anakwamisha, ili wengine nao wasisome kama yeyeShule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.