Punguza ufalaNi bora kuwa na walimu 2 kuliko kuwa na walimu 30 wanaofundisha kukata kiuno
Kuna muda huwa nafikiri kama taifa hatuko siriasi na suala la elimu labda kwakuwa watoto wa wakubwa hawasomi hizi shule ndio maana hamna msukumo wa kutatua haya matatizo yanayozikabiliTaifa linatiwa ulemavu. Elimu inanyimwa kwa raia actively kabisa.
Graduates wa ualimu wanabetisha na kuchezesha mabonanza kisha unapiga stori na mtu anakuambia shule nzima wapo 7 na hawa ndiyo wapo 2.
Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
Alipenda ujenzi kuliko elimuKuna muda huwa nafikiri kama taifa hatuko siriasi na suala la elimu labda kwakuwa watoto wa wakubwa hawasomi hizi shule ndio maana hamna msukumo wa kutatua haya matatizo yanayozikabili
Msukuma kasema la saba watatatua kila kituBila elimu experts watatoka wapi?
Afisa elimu Geita,REO Geita, wote ni hewa.waondolewe tuShule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya geita mkoani geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu.
Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo wameiomba serikali kuwaongezea walimu kutokana na walimu wawili waliopo kutokidhi kufundisha masomo yote.
Source: ITV
My take: waziri ummy harakisha mchakato wa ajira 6000 zilizotangazwa na Rais Samia kutatua tatizo hili ili wanafunzi hawa wapate elimu bora waweze kutimiza malengo na ndoto zao za kielimu.