Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

Serikali inihamishie hapo nikapige kazi.Maana nimeomba sana nihamie Geita ila Mara zote nimekuwa nikikwama.Kwanini serikali isinipeleke hapo?
 
Serikali inihamishie hapo nikapige kazi.Maana nimeomba sana nihamie Geita ila Mara zote nimekuwa nikikwama.Kwanini serikali isinipeleke hapo?
Kwenye shule unayotaka kuhama kuna walimu wa kutosha? Tuanzie hapo kwanza
 
Kama.mbunge wao anatukana wasomi sasa wanataka walimu wa nini?
 
Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
Shii punguza sauti.utagusa pabaya.
 
Naunga mkono hoja
 
👊👊
 
Mfano tukianzisha movement ya wabunge kulipwa nusu ya wanacholipwa sasa ili kupata pesa ya kuhudumia mambo mengine si ni sawa tu?
Shii punguza sauti.utagusa pabaya.
Movement sio tatizo bali tatizo ipo kwenye kuipitisha hiyo hoja maana wa kuipitisha ndio hao hao unaotaka mishahara yao ikatwe, unafikiri watakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…