Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya

Ukishajifunza kuandika vizuri, rudi hapa na hoja iliyonyooka.
 
Kwa iyo if u were incharge, what would you do, maana kulaumu ni kazi rahisi sana.
Kama mtu anafika kidato cha kwanza hajui kuandika wala kusoma, unadhani hilo jukumu analibeba nani? Mimi? Give me a break!
 
At theendoftheday..baada ya malalamishi na mihemko ya waTZ inasalia: Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya
 
Huo ni ugatuzi, gatuzi ndio 'county'.

ugatuzi ni kitenzi na nomino yake ni jimbo.
kwa kiingereza ugatuzi inaitwa decentralisation na jimbo ni county.
Pitia upya aina saba za maneno utapata maana zaidi.
 
njoo katika forum ya mombasa toa donge lako na hicho kiherehere cha kwamva wajuwa kiswahili au na hayo makosa yako ya kijinga..hku utakimbia..kila mtu anapiga kiswahili safi kabisa...hamna cha samani,zahabu,mara siliazi,lamani...

Nyakati nyingine kukaa kimya kunasaidia kuficha ujinga.
ona uozo ulio andika.
unajua maana ya neno samani na unajua ni neno la kawaida sana katika maisha yetu ya kila siku.
halafu wajuwa halipo kwenye kamusi kuu ya kiswahili iliyoandaliwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Usipende kuropoka ropoka. Unaweka wazi aibu yako.
 
Kipumuo? Okay... sasa ni kwamba hakuna kiambishi kiwakilishi cha nomino! Viambishi ni kwa ajili ya vitenzi tu!

Ninyi mkifundisha Kiswahili mtazidi kuchafua sarufi!
 
At theendoftheday..baada ya malalamishi na mihemko ya waTZ inasalia: Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili baada ya kuingia makubaliano na Kenya
Nikueleze tu kwamba, kusikiliza Kiswahili cha mkenya ni aibu. Unaweza kutamani kuziba masikio kwa kipande cha gazeti!!

Kilichotokea ni kwamba ninyi mko shapu kuchangamkia fursa hata kama hamuwezi. Ni sawa na kiwete anayegangamara kukimbia riadha!
 
 
 
 
Nikueleze tu kwamba, kusikiliza Kiswahili cha mkenya ni aibu. Unaweza kutamani kuziba masikio kwa kipande cha gazeti!!

Kilichotokea ni kwamba ninyi mko shapu kuchangamkia fursa hata kama hamuwezi. Ni sawa na kiwete anayegangamara kukimbia riadha!
Halafu nikueleze pia.. Ni walimu wa Kiswahili wanaenda kufunza.. Sio waKenya kwa jumla. waKenya wengi nakubali Kiswahili chetu si nzuri vile kwa sababu moja au nyingine lakini walimu wetu ndugu! Walimu wetu wa Kiswahili wanalitambua sana lugha..hata kuwaliko nyie, na si kujigamba lakini huo ndio ukweli
 
kiswahili na chuo kikuu cha Dar es Salam wapi na wapi...kiswahili ni cha wapwani bwana...we km ni m'bara hakikusu ndugu...(wajuwa) mbna si neno la kiswahili...uandishi tu ndio umeniponza...sasa na mi pia nikuulize...kw akili zako hzo unataka kunambia samani na thamani ni visawe....manake mi najaribu kuwafunza wanaopenda kulitumia hilo neno vibaya...we unakuja kupayuka payuka tu hapa km mjusi..

warukia mashaza matako wazi...utapasuka mkundu wewe
 
hyo n boya tu...nn anachojua zaidi ya kukarishwa maneno tu...hao hao wakenya anaowadharau..mbn ni waandishi wazuri tu wa vitabu...mwambia akutajie waandishi wa vitabu kutoka tanzania bara....hawa jamaa hawana kitu...kiswahili ni cha watu kutoka pwani(kenya,tanzania) na zanzibar...we km hutoki hayo maeneo hakikuhusu...hta pia ukichunguza watu wengi wenye makosa ya uandishi na herufi katika kiswahili..ni watu wa kutoka bara
 
Nafikiri umesisitiza vizuri tena sana. 👏
 
Mwalimu mkenya ni mkenya tu! Kiswahili chake lazima kiwe na matege!
 
Umezaliwa lini wewe? Unazijua fasihi za mwandishi nguli Shaaban Robert? Kuna mkenya yoyote anaweza angalau kufikia robo ya ubingwa wake?? SAHAU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…